Heshima kwenu wakuu.
Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza.
Anapitia changamoto hizi.
★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia.
★ Kichwa kuuma mara kwa mara.
★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara.
★ Kuhisi kizunguzungu...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo.
Nataka pia...
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika
Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna
Viwavi
Panya
Njiwa
Ndege
Kware
Panzi
Mchwa
Vibaruti
Beetle
Serikali
Majongoo
Konokono
Halmashauri
Mafuriko...
Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita.
.
Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani.
Sababu za ajali ni pamoja...
Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao.
Tuliona namna Serikali...
Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭
Ndugu zangu wamiliki...
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi.
Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya.
Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi.
Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana.
Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa.
Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo alikuwa akifanya akiwa mtu mmoja(, bila kuwa na ndoa Kabla).
Biashara Ilikuwa Inaendelea vizuri sana Kwa...
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.