Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana.
Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
Habari wanajamvi!
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena!
Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani wa changamoto za maisha au kwa jinsi gani uwepo wako utampa unafuu wa changamoto za kila siku...
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Habari za muda huu ndugu yangu
Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu.
Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6...
Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri.
Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna.
Siku hizi...
Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila,
Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri,
Kazi hizi zinawafaa...
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake.
3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu.
Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
Afrika kwa mfano Tanzania tuna 1. Umasikini wa mawazo/ fikra na 2. Umasikini wa kifedha.
Manake Inabid tupambane na two types za umaskini at the same time.
Mapambano yanakua makali tuna pambana na umaskin WA mawazo/ fikra kwa kiwango kidogo sana halafu tunapambana na umasikini wa kifedha. Kwa...
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.
Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.