hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Airtel mnafeli siku hizi

    Watu tunataka tufanye transactions pesa zipo airtel money. Hampatikani hewani. Mnapoteza sifa yenu nzuri mliyokuwa nayo zamani
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Carton Boxes

    Nauza Carton boxes kwa ajili ya kuweka bidhaa mbalimbali, ziko pcs zaidi ya 400 nicheki kwa namba 0744117116
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha hizi ni funzo kwetu

    Picha hii. Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa. Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
  5. JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

    Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, pombe aina hizi huua minyoo tumboni?

  9. JamiiForums Tanzania Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

    Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league. Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

    MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa. US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs BINGWA: US$ 4 million Shilingi bilioni 10 na milioni...
  12. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Enyi marafiki wa mitandaoni, huwa hatuwakwepi wala haturingi, hizi ni sababu zinazopelekea kukataa kuonana na kuwa marafiki wa kujuana zaidi

    1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kuna urafiki tu

    Mapenzi na mahusiano hayapo kabisa ,hata ndo za siku hizi hazidumu .ukiangalia wabibi na wababu wapo kwenye ndoa tokea na kabla ya uhuru ila ndoa za kuanzia miaka ya 90 zinamatatizo makubwa sana. Lipi la kufanya ? Maana tupo na miaka ya drones ,huna unalofanya lisionekane na kujulikana hata...
  15. JamiiForums Tanzania Siku hizi teknolojia inasoma akili za watu kuandaa matangazo ya mitandaoni

    Siku ya leo Teknolojia imenishangaza kidogo, nimewaza akilini kuhusu vikombe vile vidogo kwa kufunika na kutembea navyo, nikamuuliza jirani yangu pembeni yangu kuhusu lini anaenda kariakoo nimuagize, hata swali lenyewe halikuwa specific, nimesema tu "Lini unaenda kariakoo nikuagize vile vikombe...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  17. JamiiForums Tanzania Anayejua ubora wa smartphone za Kingkong

    Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

    Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Crime Movies. Ebu tazama hizi psychological crime movies. Zinafikirisha vibaya mno

    1: Seven Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti. 2: American Psycho Jamaa anaonekana mtu poa sana na mwenye mafanikio ila moyoni anajaribu kuficha roho yake mbaya ya ubinafsi then baadae...
  20. JamiiForums Tanzania SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…