Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka.
Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...