Naomba kuuliza jamani
Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto, mapepo, mara majini, ila unakuta Pesa ipo ya kutosha kabisa tena nyingi, ila magonjwa kama yote...