haki

  1. W

    Waziri Hassan Joho na Ferrari ya shilingi milioni 100: Maisha ya kifahari ya Viongozi au Haki ya Mtu Kutumia Hela Zake?

    Waziri wa Madini na Uchumi wa Buluu Hassan Joho ameonyesha gari la kifahari aina ya Ferrari Purosangue, ambalo thamani yake inakadiriwa kuwa takriban shilingi milioni 100. Video hii inaibua mjadala mpana kuhusu utajiri na maisha ya viongozi nchini Kenya, hasa wakati Wananchi wengi wakikabiliana...
  2. Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

    Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali. Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa...
  3. Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  4. M

    Je kuna haja ya kupinga adhabu ya kifo Mahakama Kuu, kwa misingi ya haki za binaadamu

    Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
  5. VIJANA KUIPENDA TANZANIA NI PAMOJA NA KUDAI TANZANIA YENYE HAKI

    Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake. Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
  6. R

    Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  7. F

    KERO Kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.

    Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
  8. Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  9. Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  10. Sitamani kuwa Rais bali natumia haki yangu ya kikatiba ambayo hata wewe unayesoma huu uzi unayo kama ni mtanzania na huna jinai

    Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania hata wewe unayesoma kama ni mtanzania na huna jinai basi una-haki hiyo kwa hiyo usinikasirikie mimi...
  11. O

    Vijana Waandamana Redeemed Gospel Church Buruburu Wakidai Haki kwa Jahenda

    Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda. Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
  12. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  13. M

    Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  14. THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  15. R

    Isa 59:14-15: Mhukumuni kwa HAKI

    Isa 59:14-15 Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia. Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye BWANA akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki.
  16. R

    Hukumuni kwa Haki: Walawi 19:15

    Walawi 19:15 “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki Msisitizo: Msitafute kuwa Justices of Appeal Court.
  17. Ameanza kukata moto: Haki huinua taifa

    Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto. Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake...
  18. Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  19. Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

    Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama. Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida! Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu. Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
  20. Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…