haki

  1. Carlos The Jackal

    Wapuuzi wanajaribu kulisema Kanisa kifungo cha Lissu ili 'kuliblackmail'. KANISA siku zote litaendelea kuisimamia Haki Kwa Maneno na Matendo

    Huo ndio wajibu wa Kanisa. KANISA haliwezi tishwa tishwa na Wauaji waoga wa Watanzania waloua Maelfu ya Vijana Oktoba 29 2025. KANISA halikuwah kushindwa na Mamlaka yoyote ile chini ya Jua. Hata hivo, Kanisa lingekaa kimya, maana yake ni kuhalalisha Utawala wa chuma na gharimu wa Nduli Idi...
  2. Kaka yake shetani

    Hivi mahakama zetu kuna siku wananchi watajifanyia haki weki wenyewe pitia hapa.

    Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!? Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!? Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu! Kama...
  3. Roving Journalist

    ACT: Hukumu ya Lissu ni mtihani wa Demokrasia ya Tanzania, ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
  4. J

    Kwa hiki walichofanya Marekani hawana lolote la kutufundisha kuhusu maadili na haki

    Marekani na Ulaya kwa sasa hivi wamefikia hatua mbaya, mwanaume anajigeuza mwanamke na anachaguliwa kuongoza umma... Hawa watu ndio watufundishe maadili ya kibinadamu na haki? Hapana kwa kweli
  5. BLACK MOVEMENT

    Lisu anaenda kuozea Jela kisa kupigania Democrasia kwa watu wasio jitambua, Bora angepigania hata haki za Tembo kuishi

    Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la. Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
  6. K

    Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania

    Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania. Itaanza kwa visasi mfano hao wenye madaraka kama Polisi, magereza, wanasiasa na wengineo walinde familia zao maana kuna dalili sasa mambo yataenda huko. Lindeni watoto wenu, ndugu zenu kwasababu kuna watu ambao watataka kulipiza...
  7. S

    Tanzania ya Haki

    Kuna mwaka Gari tulilopanda liliwahi kupoteza mwelekeo na kutaka kugonga lingine Ila dereva alirudisha umakini na kuliweka sawa na hivyo kutuepusha na ajali mbaya ambayo na amini kesho yake tungekuwa maarufu( kwa idadi kubwa ya vifo na majeruhi), ilibidi dereva asimamishe ili tuchimbe dawa na...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Orodha ya Manabii wakubwa 7 waliowahi kukaa gerezani kwa kupigania HAKI

    ORODHA YA MANABII WAKUBWA 7 WALIOWAHI KUKAA GEREZANI KWA KUPIGANIA HAKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wafuatao ni manabii wakubwa ambao waliwekwa jela au mahabusu kwa sababu mbalimbali wakiwa wanapigania HAKI; 1. NABII IBRAHIM. Huyu ndiye Legendary. Yaani unaposikia sijui wapigania...
  9. DR HAYA LAND

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  10. idiomer

    Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  11. Q

    Leo Umoja wa Mataifa UN utaijadili Tanzania kuhusu haki za binadamu.

    The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland. The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records. Tanzania will face questions and...
  12. C

    Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  13. Pascal Mayalla

    Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya Kesi ya Lissu. Je Haki Itatendeka na Kuonekana Imetendeka?. Jibu ni Keshokutwa Ijumaa!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
  14. The Palm Beach

    6/11, maamuzi ya mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu yatasomwa. Msiogope wala msifadhaike mioyoni mwenu. Yote yako chini ya Udhibiti wa Mungu wa haki.

    Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa... Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu.. Mimi nasema, SIO KWELI na...
  15. Carlos The Jackal

    Nov 6, ni Hukumu inayoenda Kufungua Milango ya Marekani, Ulaya, ICC kuwashughulikia Wahusika wa mauaji ya Oktoba 29,Utekaji

    Miezi michache ilopita, Mliaanza kulia lia mliposikia Kuna Orodha ya Viongozi watawekewa VIKWAZO na Marekan/EU. Bungeni mkaanza kulia lia na kupayuka. Sasa Mfungeni Lissu JELA !!! Nyie simna Majeshi, mna honga makamouni yawatetee. Haya mfungeni!!. Dunia Haijawahi kalia Kimya, Mauaji ya...
  16. C

    Charles Odero: Lema amesema ukweli CHADEMA inatakiwa impiganie Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero Charles, amekosoa baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati akisema matumizi ya lugha za matusi na nguvu dhidi ya wengine hayaendani na misingi ya uanaharakati. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 2,2026 Odero pia amepongeza kauli mbalimbali...
  17. D

    Jaji mkuu George Masaju awashukia watumishi wa Mahakama wanao tumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini

    Jaji mkuu wa Tanzania,Gourge Masaju,ametoa onyo kali kwa Majaji mawakili,maofisa wa polisi na watendaji wengine wa vyombo vya dola wanaotumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini na watu wasio na.uwezo ,akiwataka kuwacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa wanajiweka katika hatari ya...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Mtoto akikua na kukuta wazazi wake ni maskini ana haki ya kuwatoa kafara ili atajirike

    Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani. Anakula kwa shida Analala mahali pana vumbi Anavaa nguo used aka Mtumba. Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
  19. MamaSamia2025

    Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  20. C

    Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
Back
Top Bottom