Sasa wakuu, hili suala kisheria kumbe liko hivi;
Kifungu cha 58 cha sheria ya ndoa, sura ya 29, kinaeleza kuwa ndoa haibadilishi moja kwa moja umiliki wa mali za mume au mke.
Maana yake ni kwamba, mali uliyokuwa nayo kabla ya ndoa haibadiliki moja kwa moja kuwa mali ya mwenza wako kwa sababu...
Wanabodi,
Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS.
Nime C& P
TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
baraza
haki
heshima
imara
katika
kudai
kudai haki
kusimama
kusimamia
mawakili
mwabukusi
na rais
nchini
rais
rais wa tls
tls
tuendelee
uongozi
utu
wakili
wito
wote
Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
KISASI CHA HAKI
Mtunzi: Mr Babas
Mawasiliano: +255 758 276 010 Whatsapp pekee
Tulipoishia sehemu ya kwanza,Walipokaribia getini getu alisikia akiitwa nyuma yake alipogeuka alikua ni karlosy akiwakimbilia ghafla gari ilikuja na kumgonga karlosy kisha kuondoka.
Sehemu ya Pili
"mama angu...
Kisasi cha haki
Mtunzi: Mr Babas
Mawasiliano: +255 758 276 010 whatsapp
Sehemu ya Kwanza
Ilikua ni siku nzuri ya ijumaa suzi na rafiki yake getu walikua wakitoka chuo mida ya jioni kuelekea hostel walipokua njiani kuna gari aina ya harrier ya lecturer mmoja aitwae joseph tukisema tumuelezee...
Waziri wa Madini na Uchumi wa Buluu Hassan Joho ameonyesha gari la kifahari aina ya Ferrari Purosangue, ambalo thamani yake inakadiriwa kuwa takriban shilingi milioni 100.
Video hii inaibua mjadala mpana kuhusu utajiri na maisha ya viongozi nchini Kenya, hasa wakati Wananchi wengi wakikabiliana...
Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali.
Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa...
Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa.
Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake.
Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
6.11.2026
Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges
Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.
A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA
NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama.
Huruma sio malezi.
Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa.
Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
Watu wengine waliuliwa mabarabarani.
Wengine nyumbani.
Wengine walibebwa mahospitalini.
Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini.
Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha.
Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana
Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania hata wewe unayesoma kama ni mtanzania na huna jinai basi una-haki hiyo kwa hiyo usinikasirikie mimi...
Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda.
Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.