haki

  1. the ostrich eggs

    Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Mwana JF wewe ulichagua njia gani zaidi ya hizi za Mwanasheria wa serikali?
  2. the ostrich eggs

    Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?

    Wana JF mlitafsiri vipi?
  3. lord atkin

    Lissu apewe haki ya kuzungumza na mashahidi wake IGP, CDF na DCI kupanga mikakati ya kesi yao

    Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc. Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
  4. Hance Mtanashati

    Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
  5. K

    KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  6. O

    Wote Wana Miaka 15, Lakini Mmoja Anaenda Gerezani: Je, Sheria Inawalinda Watoto Wote?

    Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu. Mvulana. Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya...
  7. R

    Haki ya Ibada kwa kila mmoja wetu

    Mungu ni wetu sote na tuna haki ya kumwabudu kadri ya Imani zetu as long as huingiliii haki za wengine. Pole Lisu. Mungu yuko nawe Jpili njema
  8. M

    Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  9. Wizara ya Ardhi

    Haki za mlalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba la wilaya

    https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
  10. D

    Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona mjadala huu ukirudi tena baada ya Bwana Heche kuzungumzia suala hili. Imenifanya nitafakari tena...
  11. Wakusoma 12

    Chanzo cha Ugomvi wa jana kati ya Trafiki na Daktari ni rushwa. Rushwa imekuwa haki ya askari wa usalama barabarani.

    Itoshe kusema taifa limeshaanguka tayari. Hakuna tena mamla na taifa limeingia kwenye hatari isiyoelezeka. Kwa ufupi tumekwisha.
  12. R

    Prof. Tibaijuka: Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo tuwe ndani au nje ya CCM. Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Professa Anna Tibaijuka ameandika: "Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja...
  13. peno hasegawa

    “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  14. K

    Kutokupata annual increment

    Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
  15. Gunner11

    Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  16. M

    Kihongosi: Haki na Amani vinakwenda sambamba, CCM tunasema haki pia ila unaweza kuwa na haki na usiwe na amani

    Odemba: Kuna wimbo ambao Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikiimba kwa muda mrefu sana yapata miongo sita sasa. Na wimbo huu ni wimbo wa amani. Kwa nini Chama Cha Mapinduzi kinahimba wimbo wa amani kuliko wimbo wa haki, Kihongosi?" Kihongosi: Ndugu Odemba, huwezi kutenganisha haki na amani. Hivi vitu...
  17. K

    Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  18. A

    KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri. Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
  19. bless on

    Haki Sawa: Silaha ya Shetani Dhidi ya Ndoa?

    Shetani alimtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume. Hata mzungu anamtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume wameleta Kitu kiitwacho haki sawa, mipango ni kuwapa Wanawake kiburi, kutokuolewa na walioolewa washindwe kaendelea na ndoa zao. Ila kubwa zaidi kupingana na neno la Mungu. Watu wanasema hii...
  20. S

    Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
Back
Top Bottom