TAARIFA KWA UMMA
HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
Na GULATONE MASIGA
Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo yanatukumbusha kuwa amani, usalama na utulivu wa nchi si mambo yanayopaswa kuchukuliwa kuwa ya kawaida. Ni tunu...
Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa mchana, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni
Mwanachama mwandamizi wa CCM, alisimama, akanyoosha kidole...
Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa...
Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika.
Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
Utangulizi: Kalamu inapokutana na kalamu.
Ndugu yangu manyerere jackton, kaka yangu, rafiki yangu wa muda mrefu na comrade mwenzangu katika safari ya maisha na fikra, nimesoma kwa makini barua yako ya wazi kwa mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dkt. samia suluhu hassan...
Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa
Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
Ndugu wanajukwaa,
Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam.
Mwaka jana 2025, tulikutana na...
Anonymous
Thread
barabara
biashara
haki
kando
kando ya barabara
kuvunjwa
malalamiko
ndani
siku
siku tatu
ufafanuzi
wafanyabiashara
Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza.
1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA
2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA
3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni.
4...
Wakazi wa Shamata, Kaunti ya Nyandarua, waliandamana hadi Kituo cha Polisi cha Shamata wakiwa wamebeba jeneza, wakitaka haki itendeke kufuatia mauaji ya mmoja wa wakazi wa eneo hilo.
Tukio hilo lilitokea Jumatano, Oktoba 28, 2026, ambapo waombolezaji walisitisha shughuli za mazishi na kuelekea...
Tukikumbuka, Tunajifunza.
Tukisahau, kuna kitu tunakijua lakini tunajitahidi kukisahau. Kwa hiyo, tunakumbuka tunachosahau. HAKIKA, tunakijua ndiyo maana tunajitahidi kukisahau.
KWA HIYO: Kuikumbuka 29 Oktoba ni kujifunza kilichotokea.
Kuisahau Oktoba 29 ni kuikumbuka ili tufanye jitihada...
Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa
jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi
Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
Na kwahivyo,
hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV.
Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake,
kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.