haki

  1. O

    Wakazi wa Shamata wabeba Jeneza hadi Kituo cha Polisi kudai Haki baada ya kuuawa kwa Mkazi

    Wakazi wa Shamata, Kaunti ya Nyandarua, waliandamana hadi Kituo cha Polisi cha Shamata wakiwa wamebeba jeneza, wakitaka haki itendeke kufuatia mauaji ya mmoja wa wakazi wa eneo hilo. Tukio hilo lilitokea Jumatano, Oktoba 28, 2026, ambapo waombolezaji walisitisha shughuli za mazishi na kuelekea...
  2. C

    Askofu Benson Bagonza: kukumbuka na kusahau ndiko kukumbuka

    Tukikumbuka, Tunajifunza. Tukisahau, kuna kitu tunakijua lakini tunajitahidi kukisahau. Kwa hiyo, tunakumbuka tunachosahau. HAKIKA, tunakijua ndiyo maana tunajitahidi kukisahau. KWA HIYO: Kuikumbuka 29 Oktoba ni kujifunza kilichotokea. Kuisahau Oktoba 29 ni kuikumbuka ili tufanye jitihada...
  3. M

    Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  4. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  5. Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  6. M

    Uislamu ndio dini ya haki duniani

    Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
  7. Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  8. Wana jukwaa, hivi mtu kama huyu angepataje tunzo ya masuala ya haki tena kimataifa?

    Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
  9. K

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
  10. Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  11. A

    Je, ukioa au kuolewa mali zako zinakua za mwenza wako pia?

    Sasa wakuu, hili suala kisheria kumbe liko hivi; Kifungu cha 58 cha sheria ya ndoa, sura ya 29, kinaeleza kuwa ndoa haibadilishi moja kwa moja umiliki wa mali za mume au mke. Maana yake ni kwamba, mali uliyokuwa nayo kabla ya ndoa haibadiliki moja kwa moja kuwa mali ya mwenza wako kwa sababu...
  12. M

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
  13. Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  14. Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  15. 4

    Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

    Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua . Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana Thanks
  16. Simulizi: Kisasi cha Haki (13+) - Sura 2

    KISASI CHA HAKI Mtunzi: Mr Babas Mawasiliano: +255 758 276 010 Whatsapp pekee Tulipoishia sehemu ya kwanza,Walipokaribia getini getu alisikia akiitwa nyuma yake alipogeuka alikua ni karlosy akiwakimbilia ghafla gari ilikuja na kumgonga karlosy kisha kuondoka. Sehemu ya Pili "mama angu...
  17. R

    Ndejembi: Tutende haki na kwenye ukweli tusema ukweli. It is a matter of time. Watamtimua. Maneno ya Haki na kweli CARTEL hawataki kuyasikia

    Ngoja ninyamaze. Kuna maneno ameyatamka si rafiki kwa WENYE NCHI, CARTEL AMBAYO INAONGOZA TANGANYIKA.
  18. Simulizi: kisasi cha haki (13+)-sura 1

    Kisasi cha haki Mtunzi: Mr Babas Mawasiliano: +255 758 276 010 whatsapp Sehemu ya Kwanza Ilikua ni siku nzuri ya ijumaa suzi na rafiki yake getu walikua wakitoka chuo mida ya jioni kuelekea hostel walipokua njiani kuna gari aina ya harrier ya lecturer mmoja aitwae joseph tukisema tumuelezee...
  19. W

    Waziri Hassan Joho na Ferrari ya shilingi milioni 100: Maisha ya kifahari ya Viongozi au Haki ya Mtu Kutumia Hela Zake?

    Waziri wa Madini na Uchumi wa Buluu Hassan Joho ameonyesha gari la kifahari aina ya Ferrari Purosangue, ambalo thamani yake inakadiriwa kuwa takriban shilingi milioni 100. Video hii inaibua mjadala mpana kuhusu utajiri na maisha ya viongozi nchini Kenya, hasa wakati Wananchi wengi wakikabiliana...
  20. Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

    Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali. Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…