gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samaki wenye mifupa ipo kama "Y" ni samaki gani?

    Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

    Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu. Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa. Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ? Maana biblia haijasema kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

  5. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Unatumia vigezo gani kujua mpenzi uliyenaye ni sahihi?

    Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi...
  9. JamiiForums Tanzania Gharama ya “kujitenga” na China ni kiasi gani? Dola trilioni 23.6 za Kimarekani!

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la Financial Times la Marekani, imenukuu utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri wa kimkakati duniani Ernst & Young-Brexit, ikisema kama Marekani, Umoja wa Ulaya, na Uingereza zinataka kuondoa kwa kiasi kikubwa utegemezi wao kwa viwanda vya China na...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Ni Neema Gani za Mwenyezi Mungu Wanazozikanusha?

    Mwenyezi Mungu amesema: "Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13) Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari. Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  12. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

    Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;- Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani, Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali, Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa, Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA, Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inapata faida gani kuzindua meli za wachina, wachimbaji na kusema za kwetu, Jin hang Vessel

    Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wachungaji kama hawa wenye roho mbaya kwasisi wachungaji wapya wapewe adhabu gani?

    Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k. Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
  15. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuishi na dada wa kazi ( house girl) muda mrefu?

    Tupeane uzoefu kwenye hili
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara au kazi gani inayoweza kumpa mtu kuanzia milioni 50 kwa mwaka?

    Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie. Nini aepuke ili asijekupotea...
  17. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ambazo ni za kushangaza ambazo mpenzi wako alikuwa akifanya wakati wa tendo?

  18. JamiiForums Tanzania Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

    WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo. Dhana potofu kama; 1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume. Ukweli ni kuwa wanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinavyotupa raha?

    Swali hili lina majibu mengi kwa sababu "raha" inaweza kuwa ya mwili, akili, moyo au roho. Kwa mtazamo wa sayansi, raha hutokea pale ubongo unapotoa kemikali kama dopamini, serotonini, oksitosini na endorphins ambazo hutufanya tuhisi vizuri. Baadhi ya vitu vinavyotupa raha ni: Upendo na...
  20. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…