gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

    Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea... Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini? Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli.. Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  3. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  5. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana. Binafsi kuna mke...
  6. JamiiForums Tanzania VIWANJA NI BEI GANI ?

    kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja. Akaniambia niulize bei ni mwambie. Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja.. Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  8. JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

    Kinyengo Mafyulisi Mang'ang'a Matombolilo Posolo Katapera Nguniani Mapululilo Mkambokambo Mapohora Mang'ela Mabangayeye Migagi Vitindi/ kitindi Kipumilo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

    Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika.. Turudi...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Chadema hawataki Maridhiano CCM sii iliriadhane na Vyama 18 vilivyopo. Kuna haja gani ya kumsubiria "Mwenzao" waliyemfunga

    Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale. Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu? Je hawa wengine...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TPCSS 1 ni kiwango gani cha mshahara?

    .
  12. JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT Mwenzao huyo ni nani ?
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaukubali kwa Misosi?

    Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

    Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15 Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu...
  18. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  19. JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…