Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...