Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router.
Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani.
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa
Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment.
Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri...
Hizi ni bank za taasisi za dini .
Azania ni bank ya waislamu ..
Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania)
Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic)
Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y...
Pamoja na takwa la Serikali la kuhakikisha miundo mbinu inasomana, Kwa maoni yangu, sioni tija ya mradi wa BRT awamu ya tatu kuingiza mchepuko wake ndani ya Airport ya Kimataifa ya Julius Nyerere kutokana na sababu chache zifuatazo:
Ukizingatia umbali wa vituo vingine vya BRT kituo cha airport...
Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania.
Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na...
Kwema wakuu,
Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli.
Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA.
Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu.
Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Ni kupitia jukwaa hili...
Wakuu,
Anaitwa Latricia Ian, jana ndo kachaguliwa kuwa ni Miss World Tanzania
Mna uhakika huyu ndo anaenda kutuwakilisha Watanzania huko Miss World?
Kamati ya Miss World wametumia vigezo kumpa huyu dada title ya Miss World Tanzania?
Nimesikitika!
Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia
Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa maeneo ya mjini au sokoni huwa unaona kuna kundi limejikusanya wakimzunguka mtu anayetangaza vitu fulani...
Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani.
Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili safari isinichoshe na niifurahie zaidi, nahitaji kampani ya pisi kali tukaangalie namna viumbe wengine...
Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu.
Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu .
Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi.
Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi
Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.