gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuwa tajiri?

    Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao. Fikiria matajiri kama Dangote, MO29 au Bakhressa wanamiliki utajiri uliotapakaa nchi nzima na baadhi...
  3. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Mnaposema kuwa mtu hawezi kutajirika kwa kuajiriwa, huwa mnazungumzia kiwango gani cha utajiri?

    Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na biashara, Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
  4. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

    Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS for supermarket and all size shop Nakadhalka Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
  5. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Hivi Juma Nature ana umri gani? Mbona hazeeki

    Tangu nimeanza kumsikia juma nature enzi hizo alikua mbaba eti mpaka Leo bado yupo vilevile
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji gani umekutana nao kwenye mahusiano ikakufanya usiendelee kuwa nae au kama ulikuwa unamuhitaji ukaachana nae

    Habari wanajf kipindi namfukuzia manzi ilikuwa ni 2019 hiyo tukakubaliana kabisa tuonane so akaniomba nimtumie nauli nikamtumia ilivyofika muda tulipanga tuonane simu yake ikawa haipatikani baadae kabisa akanipigia akaniambia amepata ajali ya boda boda amepata mikwaruzo na mguu wake haupo...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

    1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona duka la mikanda ya ngozi nikanunua ila ilanibidi niutafutie kwanza msumari nitoboe tobo basi hio kazi...
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

    Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu . Pwani-wilaya ya Chalinze Dodoma na Unguja. Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ikifikia hatua gani utajigundua kua wewe ni mraibu wa mitandao?

    Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao. Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku. Hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Samsung A35 BEI GANI ??

    Eti wadau Samsung A35 5G 6/128 shngapi kwenye box?? Kuna mtu anataka kuniuzia hapa mpya
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  12. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kutumia simu zisizopokea new software updates au security updates?

    Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027. Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani...
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wana shida gani mbona hawalipi kisasi( Retaliation)Kwa walioua ndugu zao?

    Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi. Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni content creator gani Tanzania anafanya vizuri sana lakini bado watu hawajamzingatia?

    Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kufanya biashara ukiwa umeajiriwa, mnaoweza mnamtumia njia Gani?

    Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ulificha magendo gani chumbani kwako alafu ile unarudi nyumbani ukakuta kiko sebuleni unasubiriwa utoe majibu?

    Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta Ile narudi shule...
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?

    Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

    Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho? Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi suburbs Nimeweka picha kueleza kwa nini nahisi Marekani ndio nchi yenye mandhari mazuri kwa upande...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
Back
Top Bottom