Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .
Natanguliza shukran.
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
Salaam wakuu
Mtu wangu wa karibu (ke) ana changamoto ya kutokwa na vitundu vidogo vidogo (pores) kama inavoonekana hapo kwenye picha...hiyo ni sehemu ya uso shavuni
Akivikamua/akiviminya izo pores zinatoa kitu kama mafuta mgando mweupe
Anaomba ushauri kwa wataalam wa ngozi na wengine waliowahi...
Oya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika.
Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.
Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa?
Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.
Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.
NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu.
Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi.
Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri”
Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
Salute!
Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu
Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi.
Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf?
Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
Habari wana jamvi,
Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
Maoni yako , tafadhari.
Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?..
Natafuta Ajira
Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu?
Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.