Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje?
Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa...
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya...
Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa
Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni.
Sasa...
Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii.
Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali
Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria
Nawasilisha
Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza
The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia...
Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana…
“Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?”
Nilidhani wangesema:
Misuli ya tumbo.
Pesa.
Au ubabe wa mwanaume.
Lakini majibu yao lilinishangaza.
Karibu wote walisema kitu kimoja…
Sio kile mwanaume anachofanya.
Ni kile...
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu?
Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.