gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaukubali kwa Misosi?

    Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

    Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15 Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu...
  5. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  6. JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  8. JamiiForums Tanzania Samaki wenye mifupa ipo kama "Y" ni samaki gani?

    Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
  9. JamiiForums Tanzania Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

    Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu. Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa. Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ? Maana biblia haijasema kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

  12. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Unatumia vigezo gani kujua mpenzi uliyenaye ni sahihi?

    Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi...
  16. JamiiForums Tanzania Gharama ya “kujitenga” na China ni kiasi gani? Dola trilioni 23.6 za Kimarekani!

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la Financial Times la Marekani, imenukuu utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri wa kimkakati duniani Ernst & Young-Brexit, ikisema kama Marekani, Umoja wa Ulaya, na Uingereza zinataka kuondoa kwa kiasi kikubwa utegemezi wao kwa viwanda vya China na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Ni Neema Gani za Mwenyezi Mungu Wanazozikanusha?

    Mwenyezi Mungu amesema: "Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13) Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari. Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  19. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

    Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;- Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani, Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali, Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa, Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA, Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inapata faida gani kuzindua meli za wachina, wachimbaji na kusema za kwetu, Jin hang Vessel

    Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…