gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

    Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  4. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kiasi Gani Cha fedha uliwahi kuokota? Ilikuwaje?

    Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Timu gani atashindwa kufunga hapa?

  8. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ni kitu gani hiki vodacom wanafanya?

    Nimeweka pesa kwa wakala, Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika. Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja. Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mishipa inaniuma ni dalili za ugonjwa gani?

    Sehemu zote zenye vein zinauma mikono na kwenye maungio ya miguu
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa mtumishi wa umma akiiba au akikosea ahamishiwe sehemu nyengine una maslahi gani kwa taifa?

    Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Unavyonunua TV mpya, unaangaliaga vigezo gani?

    Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya. Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

    Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mzazi unajisikiaje unapopata mtoto na uchaguzi wa jina una maana gani kwako?

    Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla. Katika jamii za kale kuna tamaduni...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

    Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
  17. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Airtel ina masahibu gani leo?

    Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni vitisho gani ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao?

    Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
Back
Top Bottom