Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
Habari wakuu,
Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo.
Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
Ndugu wanaJamvi kuna jambo limenishangaza kidogo kutoka ofisi ya RITA MISSENYI mkoani Kagera.Kuna mtoto wa shemeji yangu aliomba cheti cha kuzaliwa kwa njia ya mfumo wa RITA ajaza kila kinachotakiwa kuwekwa kwenye mfumo.Baada ya wiki moja kwenye mfumo status ikaonyesha Cerificate Issued,Collect...
Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika.
Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa?
Pia...
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ?
Nataka kufaham tu, kama hulijui kabila Hii post ipite kama unazunguka Round about na pikipiki ya wizi.
Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.
Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.
Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na asiweze tena kuitumia dushe yake kwenye matumizi ya kuzagamua.
Binafsi naona imekaa sawa ila ni lazima...
Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha...
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.
Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili,
lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.