Serikali ilizingatia vigezo gani kuzuia na kuzifanya jinai biashara za mirungi, bangi na ukahaba huku ikiruhusu biashara za sigara/tumbaku, pombe, nutmeg/kungumanga na kamari?
Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g?
Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka...
Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa.
Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya:
Faida za Magari Yanayojiendesha
1...
Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo.
Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
Mwanaume anadai natafuta mwanamke , mchakarikaji.
Na mwanamke anatafuta mwanaume mtafutaji
Kwa ushauri tu je usipo mpata mke mchakarikaji,au mwanaume mtafutaji?
Wewe mtafute mtu tu unayempenda ndio muanze maisha maana maisha yanaenda ukitafuta mtu wako umtakaye .
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na huenda ukiulizwa kuyasema, kwasababu ya muda na ufinyu wa platforms, usimalize kuyaorodhesha...
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.
Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.
Mimi likes zangu elfu 20+ ambazo kama zingekuwa pesa ningeweza kununulia hata T-shirt .
Wewe je likes zako...
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika
Umeshawahi kupatwa na hali hii? Nini kilitokea?
Mimi stori iko hivi,
Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo mahala fulani( si unajua hela za tempo) so, ikabidi niwe natumia muda mwingi kutembea wakati wa kurudi...
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na mtamzamo wako unahisi ni kipi kati ya hivyo ni vya kuzingatia zaidi?
1. ECONOMY STABILITY(UCHUMI)...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo.
Tukaenda kula bata Billcanas.
Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani.
Mwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.