elimu

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  2. yassird200

    JamiiForums Tanzania Hi Guyz...

    Am new member here! Nimevutiwa na jukwaa hill kwa mambo mengi zaidi kubadilishana ideas,naombeni ukaribisho weni guyz! Asante.
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  4. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 ni mwaka wa uchaguzi, tunahitaji Rais atakaye futa hii elimu ya kipuuzi

    Tuna raslimali nyingi sana kama madini lakini vinatufaidisha kwa kiwango cha chini sana.Hatuna mitambo ya kuchimba madini hayo,hatuna vifaa vya kisasa kwa ajili ya kilimo,vyote tunaagiza nje,ila tuna vyuo vikuu vingi,pesa nyingi inawekezwa kwenye elimu,tunasoma degrii za manunuzi kwa kuwa...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana...
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  9. AKAN

    JamiiForums Tanzania NIPENI ELIMU YA HIKI KIFAA

    Habari ya majukumu wakuu... Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa. Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze Natanguliza shukuran
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande ule wengi wao elimu yao ni tiamaji tiamaji

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  11. chinatown

    JamiiForums Tanzania HIVI MAMA NDIYO ANAPASWA KUTOA ELIMU YA AFYA>?????

    watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi, kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
  12. Trainee

    JamiiForums Tanzania Swala la Elimu bado serikali inatania kwenye baadhi ya mambo

    Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Elimu na maisha ya Maria De Mattias Secondary school

    Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
  14. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kufaulu Elimu: Kumaliza Darasa kwa Raha au Shinikizo la Kufaulu tu?

    Katika safari ya elimu, tunakutana na maswali mazito: Je, tunasoma kwa ajili ya kujifunza na kufurahia mchakato wa maarifa, au ni shinikizo la kufaulu tu ndilo linatufanya tukaze akili? Wazazi, walimu, na jamii kwa ujumla, mara nyingi wanaonekana kupima thamani ya mwanafunzi kwa matokeo ya...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TESP kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa elimu ya ualimu vyuoni

    Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi. Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Google waichonganisha Tanzania na Malawi, ramani yao yaonyesha ziwa Nyasa lote la Malawi, Wizara ya Elimu Tanzania yatoa onyo kwa mashule yote

    Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi. Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Blanketi la ujima liondolewe katika mfumo mpya wa elimu

    BLANKETI LA UJIMA LIONDOLEWE KATIKA MFUMO MPYA WA ELIMU. Serikali ya nchi yetu kupitia wizara ya elimu ipo katika maandalizi ya sera mpya ya elimu ambayo inamabadiliko makubwa na kwa kiasi kikubwa imejikita katika kutengeneza watanzania ambao watapata elimu na mafunzo ya mapema ya kuwawezesha...
  18. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kusoma nyota (unajimu) inaruhusiwa katika Ukristo?

    Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa Wayahudi(Yesu Kristo). Je ni sawa kwa mkristo kushiriki kwa namna yoyote katika usomaji nyota(unajimu)?
Back
Top Bottom