elimu

  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Piptyda akiingiza milioni 45 Kwa masaa tu live TikTok gift, nilibisha na nitabisha NAOMBENI elimu, pesa nyepesi kiasi hicho

    Mchezesha makalio pip alianzisha kipindi cha dukuduku ambapo anaingia MTANDAONI watu wanatoa madukuduku Yao mbalimbali, sasa hiyo sio KESI, KESI ni kua Kuna gift hutolewa na watazamaji inasemekana mfano ukipigwa simba inakua na thamani sana hivo kadri gift zinavo ongezeka na ndio hela hiyo...
  2. Candela

    JamiiForums Tanzania Elimu ya ununuzi wa magari used, hasa haya ya Ujarumani

    Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani. Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer. Zipo yard maarufu...
  3. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
  4. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mwishawa: Ongezeni wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi

    Na. Philipo Hassan - Dodoma Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa, Agosti 31, 2026 amekielekeza Kitengo cha Mahusiano ya Jamii kuongeza wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi hususan jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa ili kuwawezesha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

    Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania MKUU WA WILAYA YA CHUNYA ATOA AHADI YA KUTATUA KERO ZA MAJI, ELIMU NA USALAMA KIJIJI CHA ITUMBI,KATA YA MATUNDASI.

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mbarak Batenga, amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwamba moja ya vigezo muhimu vya kupima utendaji wake ni kutatua kero ya maji katika Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi. Amesema atahakikisha suala la upatikanaji wa maji safi...
  10. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  11. abura90

    JamiiForums Tanzania Je Wizara ya Elimu imekosa Meno kuhusu Kasumba ya Madarasa ya Mitihani?

    Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi na Makuzi ya Wanafunzi lakini Wizara ya Elimu ambayo inabeba dhamana ya kusimamia utoaji wa elimu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  14. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  15. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🏗️ MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6 🚨 UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO! Watu wengi wanaanza kwa kuuliza: ❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?” ❌ “Niweke nondo mm ngapi?” ❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?” Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa: 👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mgeni Rasmi Wiki Ya Elimu ,Ujuzi na Ubunifu Tarehe 24/8/2026 Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itakayofanyika Siku ya Jumatatu ya Tarehe 24/8/2026 Mkaoni Tanga. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uganda Waja Kenya Kutafuta Majibu ya Changamoto za Elimu

    Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao. Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
  18. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
Back
Top Bottom