elimu

  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗗𝗢𝗕𝗘 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧👋

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! 😱 Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. 🎨📸🎬 Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. 🖼️ Photoshop –...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🚨😱 𝗪𝗔𝗜𝗧… 𝗪𝗛𝗔𝗧?! 𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗔𝗠𝗘𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜?!👇

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh 👋 Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  6. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo uangaliwe

    Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania kwa upande wa afya na teknolojia. Watu watakufa na wengine watakuwa wahanga

    Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF. Moderator utaweka. Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni kichekesho. Mimi hapa JF sikusomea HKL ndio maana napata tabu na wengi wanaona navyo wasilisha...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia kundi kubwa la CCM hivi vyote wamekosa Akili na elimu

    Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa. Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali. Sasa hawa uwezi kutofautisha makalio na njia ya kinyeo utanuzi wa vipenyo kuanzia mpaka wa ikweta mpaka kuingia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watawala hawana mpango na Elimu bora wananchi amkeni

    Viongozi wetu wamekuwa mara kwa mara wanafanya majaribio ya kitaaluma na wakati wote majaribio hayo yameacha simanzi kwa baadhi ya wanafunzi ambao ndio wahanga wakati wote Humu katikati kuliibuka waziri aliyeunganisha somo la Physics na Chemistry likawa somo moja (Chemistry with Physics)...
  12. Soul21

    JamiiForums Tanzania Upigaji kupitia semina za kutoa mafunzo kazini, Chanzo cha elimu duni.

    Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu. Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo Semina hizo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea usiku wa fight ya Choki vs Tony , elimu ya masumbwi inabidi itolewe kwa mabondia na mashabiki

    Usiku wa pambano kati ya Juma Choki na Tony Rashid uligubikwa na malalamiko kila kona kulingana na aina ya maamuzi waliyotoa majaji. Miongoni mwa mapambano ambayo maamuzi yake yalileta utata ni haya 1) Debora Mwenda vs Dorothea. 2)Dulla Mbabe vs Hussein Itaba. 3) Main card (Juma Choki vs...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama mzazi na kama kuna wazazi hapa JF tuungane kurekebisha elimu ya tanzania naona kama ni vichekesho.

    Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani. Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka: Miradi ya Elimu na Afya Ni Msingi wa Kujenga Kizazi cha Taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa kujenga kizazi chenye elimu bora, afya njema na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya...
  17. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Passport

  18. Think2

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali kupitia wizara ya elimu tunaomba mkatizame upya vigezo ya kusoma kozi za afya

    Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya research kinyume cha utaratibu

    Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu. Hata hivyo, wanafunzi wanalalamikia muda mfupi waliopewa, kwani muhula huu wana masomo matano pamoja na jukumu la kufanya research na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
Back
Top Bottom