elimu

  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vyuo vingi vinafanana elimu, shida inakuja wapi kuna baadhi ya vyuo ni nadra kuwakuta wahitimu maofisini?

    System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani. Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto Jambo la kushangaza...
  3. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha usaili kada ya elimu zinafikirisha sana

    picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma . Any way tusubiri ripoti ya waziri. Soma Pia: Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  6. Lambardi

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia. Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU..EMBU FIKEN MLALAMIKE ONGEZEKO LA BEI ZA VIFAA VYA ELIMU WHY NOW?MBONA TKT LATRA WAMEJIRAHIDI XMASS TUMELIPA BEI HALALI??

    Inashangaza sanaa YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari Magodoroo Vyatu vya shuleeeeeeee Soksi Vitandaaaaa Vitabuuuuu Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu Wizara ya elimu .tamisemi...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hii elimu kwa watoto wa kiislamu namna ya kukata vichwa, haifanyi kuwa makatili

    Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
  9. Rachel P

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa watoto wa Kitanzania wanaofungua shule leo

    Ni elimu ndiyo itaifungua nchi yetu kutoka kifungo cha ujinga na umaskini Ni elimu ndiyo msingi wa maisha na maendeleo Ni elimu ndilo chimbuko la viongozi weledi na wenye mafanikio nchini. Mungu awe nanyi katika mwaka mzima huu wa masomo. Nawapenda watoto wote wa kitanzania. Kila la kheri.
  10. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu Mkenda; Makongoro high school huko Bunda haina matron walimu wa kiume wanaingia mabweni ya wanafunzi kidato cha 5 na 6

    Mheshimiwa waziri wa elimu. Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu; 1. Kutunza nidhamu bwenini 2. Usalama wa wasichana na mengineyo. Shule iliyotajwa hapo juu Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TRA Portal, ni mfumo mpya unaohitaji Elimu ya kutosha na maandalizi ya mwaka mzima

    Habari , Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025, Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza kubadili umiliki wa chombo chake direct kupitia mfumo mpya wa T.RA Portal . Pia upatikanaji wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je wananchi tuna uelewa wa kutosha juu ya Homa ya nyani (Monkey pox)?Je wizara ya Afya ikishirikiana na wadau wa sekta ya afya wanatoa elimu stahiki?

    Salam. Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)! Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya kuendeleza juhudi za kutoa elimu kupitia vyombo vya habari kuhusiana na huu ugonjwa ambao wengi wetu...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda, hivi mmeshindwa kabisa kufikiri nini tatizo la elimu yetu hadi mnadhani ni kiingereza tu?

    Kwanza napenda kukupongeza wewe binafsi kwa kuwa nakuona unajitahidi sana kujaribu kuleta suluhu kwenye suala la ubora wa elimu yetu.Hata hivyo jitihada zako pamoja na washauri wako bado hamjaweza kutatua kiini cha tatizo ambalo kimsingi sisi wadau wengine tunaliona. Mimi sina elimu kubwa...
  15. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Blue Magic na Black Magic

    Nina umri wa miama 31 na sikuwahi kujua kuhusu Elimi hii. Nimetenga Mwaka mzima kujifunza elimi hii lengo likiwa ni kujiongezea ujuzi. Nimefatilia nimegundua Dunia ni pana hii. Naanza sasa kuelewa mambo ninayoyaona kwa wachungaji na masheih hata kwenye maisha halisi nimeanza kuelewa sasa...
  16. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapewe elimu ya mazingira Kando ya Ziwa Victoria, kuna uchafuzi kubwa unaohatarisha afya

    Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini: 1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
  18. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania mawasiliano ya staha na heshima yanachochea mazungumzo mazuri

    Kueleza umuhimu wa kuonesha heshima kwenye mazungumzo kuhusu utalii wa ndani ni jambo la maana. Ni kweli kuwa utalii wa ndani ni sehemu muhimu ya maisha yetu na ni suala la hiari kwa kila mtu kushiriki. Kwa hiyo, ni vyema kuheshimu maoni na jitihada za kila mtu katika kukuza utalii wa ndani bila...
  20. MoonBoy

    JamiiForums Tanzania Habari wana jf? Naomba elimu juu ya matumizi ya bolt (taxmtandao)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva POINT 1. Ni makosa...
Back
Top Bottom