elimu

  1. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

    Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani. Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio. Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona. Lakini bado nilipokuona...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa wazoefu wa masuala ya elimu

    Naombeni msaada wa kupewa ushauri Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9 Matokeo ya masomo yake MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B Yeye...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Jumanne Kishimba maono yako ya Elimu kwa vitendo yametimia. WanaJF tumpongeze

    Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa. Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu nendeni Ifakara mkajionee madudu

    Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi. Jambo la ajabu ni kwamba:- 1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana. 2. Barua...
  6. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Elimu Ya Fedha ni Hitaji la Leo

    Habari wanajamvi, Nimerudi tena baada ya kufika Morogoro salama. Treni iliondoka kwa wakati (saa 12:55) na kufika kwa wakati (saa 2:59). Nilichukua bajaji ya elfu 2, nikafika Msamvu nlikoacha pikipiki. Nikawasha chombo, nikajaza mafuta, nikafika home salama. Nimekuwa na tabia ya kusoma kurasa...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania MSLAC yapamba moto Kakonko - elimu kwa wananchi yaendelea kutolewa

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa elimu ya Tanzania unanipa mashaka sana kila kukicha

    Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

    matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo. Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu. Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika. Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249...
  15. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Wa Bongo Wengi hawana Elimu kuhusiana na " YAHOO BOYZ" wa Naija

    Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu https://twitter.com/yrnskypper/status/1858751626460193176?t=AJcYLdCwbIY70Va7NChcrw&s=19 https://www.instagram.com/reel/DEjhYFMqAku/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  16. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro, wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  18. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na Ujenzi wa Uongozi wa Kitaifa kupitia Elimu ya Seminari

    Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi bora wa taifa. Seminari sio tu ni shule za kiroho, bali pia ni vyuo vinavyolea viongozi wa kitaifa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Watoto Media Library: Tupeane mapendekeza ya filamu, nyimbo au vipindi vinavyofaa kwa burudani, maadili na elimu ya Watoto

    Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto. Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu mpo wapi

    Kuna tatizo kubwa kwenye ubora wa elimu yetu, mimi siyo muandishi mzuri ila nimeona mfumo wetu wa elimu unajenga watu kukariri ili ufaulu mtihani na siyo kujifunza au kuelimisha Hii imepelekea mashule yamejikita kufanya njia yoyote hata ya haramu ili mradi wanafunzi wao wapate ufaulu wa juu na...
Back
Top Bottom