dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  2. JamiiForums Tanzania Usipofikira mara juu ya picha hii, Jijue wewe ni kivuli tu dunia hii.

    Note: Elimu ni BURE na Kiswahili ndio uzalendo kwa nchi yetu. ========= Anyway, watawala wanahitaji watu wa aina 2 tu. 1. Wanaopiga kazi na kulipa kodi. 2. Watiifu. Usihangaike sana na masuala ya elimu Kwasababu wala hayahitajiki kwenye vibarua vyetu vya kubeba zege, kuuza mabanda...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tuifuate dunia kwenye kupigana na Covid 19

    Tanzania sio kisiwa, tunahitaji nchi nyingine kwenye mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na michezo, na kiusalama. Kwakuwa Tanzania ni sehemu ya dunia, Afrika, SADC, na Afrika Mashariki basi kinachoikumba dunia, Afrika na East Afrika pia kinaikumba Tanzania na utatuzi wake lazima...
  4. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

    Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu. Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

    Aliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia. Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia Pumzika kwa amani =========== Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa tuliopitia na tulipo leo dunia inatuonaje?

    Maana maelfu walimwamini huyu mzee. Kuna mwenye mrejesho kwamba mzee hakuwa tapeli na watu walipona.
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

    Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi. Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Zaidi. soma: Thomas...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

    Kwa masikitiko makubwa sana Ndugu yetu Wakili Msomi Geofrey Noah amefariki dunia leo hii jijini Arusha kwa tatizo la upumuaji. Mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani. Amina. Wakili Noah(Kulia) enzi za uhai wake akiwa na Wakili Olengurumwa Wakili Noah enzi za uhai wake
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA CHADEMA yapata pigo Dodoma, Kamanda Tully Nassa Kiwanga afariki dunia

    Apumzike kwa amani Lakini kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kutenda kazi ya Mungu , tunaamini Mwenyezi Mungu ataipokea roho yake mahali pema peponi , Amina .
  12. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa kesi ya kusafirisha walemavu, kuwatumia kuomba afariki dunia

    Dar Es Salaam. Mshatakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Sadikiely Meta(71) amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke alikokuwa akipatiwa matibabu. Meta na wenzake...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

    Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA. Habari za...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

    PATRICK KISEMBO amefariki dunia Februari 8, 2021 katika Hospitali ya rufaa ya Kibaha. Kisambo amefanya kazi na vyombo kadhaa ikiwemo, The Citizen, The guardian hadi kufikia kuwa Mhariri. === In loving memory of our beloved Comrade, Friend and Colleague Patrick Kisembo. We Admins of this...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

    Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia. Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2. Interview ilianzia Kenya,ikaenda South...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

    Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin Mambo, wakati wa uhai wake -- Mwandishi wa habari Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Februari 8...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  18. JamiiForums Tanzania Janga la kirusi cha Corona na ugonjwa wa COVID-19: Dunia sasa yaanza kutuelewa na kutumulika namna Tanzania tunavyokabiliana nayo chini ya JPM

    Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
  19. JamiiForums Tanzania Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3- Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4- Muonekano mzuri na imara. 5-...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

    Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…