dunia

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Dunia hii bado kuna ufalme wa kurithishana vyeo na habari za uzao bora (noble birth)

    Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea. Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Habari wadau..! Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..? Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza . Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

    Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan. Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho. Idd Mubaraka.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hatari ya anga za juu: Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote

    Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
  7. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

    Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi yalisiyothibitika hapo nyuma kuhusu watu kukutana na vyombo au viumbe kutoka sayari nyingine. Kwa sasa msimamo wa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katika hii dunia yanaweza kukusibu mpaka ukakufuru

    Kuna mzee alikua na maisha ya kawaida, mke na watoto. Akiwa na miaka 40+ alishajenga nyumba, watoto wanasoma na miradi yake inayoingiza mkate kila siku inaendelea. Kama binadamu kuna siku aliombwa msaada wa lifti na dada mmoja wa 30’s hivi. Alimpeleke alikokwenda na baadae aligundua hata...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kirk Douglas, Anne Douglas amefariki dunia; huyu ni mama wa kambo wa Michael Douglas.

    Michael Douglas kwa uchungu amesema isingekua Anne Kirk asingepata mafanikio aliyoyapata maishani mwake.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chanjo, teknolojia ya kiafrika na simulizi ya Onesimus, mtumwa wa Kiafrika aliyeiokoa dunia

    Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote. Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko...
  11. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako. Catalytic converters...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jambo hili kinaweza kutokea Tanzania tu dunia mzima: Unatenga fedha kwaajili ya sherehe kisha siku ikifika unawatangazia umma fedha zinakwenda kwenye

    Huu ndio ukweli mchungu, ni kwamba aidha viongozi wetu(watawala) wanatuona sisi wananchi hatuna upeo wa kufikiri au viongozi wetu wana upeo mdogo wa kufikiri. Wao ndio hupitisha bajeti za sherehe hizo kisha baadaye haohao hutengua bajeti na kuzipeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Hii...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania MTANZANIA aibuka kwenye Video ya Ampiano inayotrend Dunia kwa sasa

    MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington DC, Marekani. Moja ya Vijana hao imeripotiwa kuwa ni MTANZANIA, ambaye ni wamwisho kwa Vijana...
  14. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

    Dunia haiwezi kukaa hivihivi bila dereva, tangu miaka ya zamani tunaambiwa walikuwepo Wagiriki, Misri, Warumi, Waingereza etc. Nadharia za njama (conspiracy theories) zimekuwa nyingi. Unadhani hadi sasa nani anayecontro dunia? 1: US 2: Illuminati/Freemasons kupitia US. 3: Vyama vya siri yote...
  16. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  17. kopites

    JamiiForums Tanzania Dunia yashtuka msimamo wa Hayati Magufuli kuhusu COVID-19

    Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake. Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania China yataka usawa katika usimamizi wa Dunia

    Rais Xi Jinping wa China amesema mfumo wa utawala wa kilimwengu lazima ufanywe uwe wa usawa na uadilifu zaidi, na kwamba kanuni zinazowekwa na nchi moja ama baadhi ya mataifa haziwezi kulazimishwa kufuatwa na wengine. Akizungumza kwenye Jukwaa la Boao, ambalo ni mbadala na Jukwaa la Kiuchumi...
  20. Peril22

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unakata tamaa mpaka mwisho ila baadae unakuja kupata njia

    Natumaini ni wazima wa afya ndugu zangu, Apr 2016 zinatangazwa nafasi za jtk kwa kujitolea mjomba anauza ng'ombe mmoja kwa 600k anahonga unapata nafasi, unapangwa kikosi flan cha jkt. Unafika kikosini mnaambiwa as you where mrudi nyumbani mpaka pale itakapotangazwa tena. Unarudi nyumbani...
Back
Top Bottom