dunia

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93. Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
  2. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Black Rob naye afariki dunia

    Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh. Amefariki dunia baada ya kupita siku 10 tangu mkali mwingine wa hizo kazi DMX kufariki. RIP
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu cha " Kipigo cha Dunia" sterling mzee Meko na Bob Mazishi tuwasiliane!

    Ni kitabu cha miaka ya 80s kikiwa katika mtindo wa picha za kuchora yaani katuni. Aliyebahatika kuwa nacho hata sasa nakihitaji kwa ajili ya kujikumbusha mambo fulani ili kuepukana na matapeli ambao bado wapo hata sasa. Ramadhan Kareem!
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

    CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu? Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa! Ulaya sababu ya...
  5. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Vita ya tatu ya dunia jinsi inavyoonekana

    Wasalaam, Juzi nlikuwa napitia mambo kadhaa wa kadhaa juu ya Mfungo wa Ramadhan kwenye mitandao na haswa masahibu wanayopata watu mbalimbali juu Mfungo na Mlipuko huu wa magonjwa(COVID). Kwakuwa nlikuwa nimebase kwenye, Islamic informations ikaja notification moja nikapitia kwa Uchache. Kwamba...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inatakiwa kujiunga na China kupinga kivitendo “utaifa wa chanjo”

    Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa wageni haki sawa za kuchanjwa kama wachina. Kijana Adhere Cavince kutoka Kenya ni mwanafunzi wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Ukitumia vigezo vya dunia nusu ya Watanzania (watu milioni 28) Wanaishi katika ufukara uliopitiliza

    Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa. Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza. Ramadhan Kareem!
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA IGP Simon Sirro afiwa na Mama yake Mzazi usiku wa kuamkia leo

    Mama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu. Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki, Dar es Salaam. Kati ya jambo ambalo Mungu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

    Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho. Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana. Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri. Hubirini...
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Je walio Serikalini hawafahamu umuhimu wa internet kwa dunia ya leo?

    Internet sio anasa, internet sio jambo la option, internet ni ulimwengu kama ulivyo ulimwengu wa kifizikia, Watu waanasoma mtandaoni Watu wanafanya biashara mtandaoni Watu wanaburudika mtandaoni Watu wanasoma mtandaoni Watu wanapata taarifa mtandaoni Watu wanajuliana hali na kuendeleza mambo...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Taj Mahal, Urithi wa dunia

    Taj Mahal (Kiajemi تاج محل‎ - tāj-maḥal, taji la mahali) ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani. Taj Mahal. Taj Mahal ilijengwa 1631 - 1648 kwa amri ya Shah Jahan aliyekuwa mtawala wa nasaba ya Moghul aliyetaka...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ubakaji sasa ni tatizo la Dunia

    Kulingana na Takwimu za ubakaji kwa kila Nchi 2021(Rape statistics by country 2021). Takwimu zinaonesha kuwa inakadiriwa asilimia thelathini na tano 35% ya Wanawake Duniani wamepitia ubakwaji, jaribio la ubakwaji, au usumbufu wa kingono katika maisha yao. Katika Nchi nyingi zinaweka taarifa za...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Madagascar, Didier Ignace Ratsiraka afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki akiwa na umri wa 84, rais wa nchi hiyo alitangaza. "Jumapili tarehe 28 Machi, 2021, rais wa zamani, Admirali Didier Ignace Ratsiraka alifariki akiwa na miaka 84. "Wamadagascar wamempoteza mzalendo," Rais Andry Rajoelina aliandika...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
  18. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  19. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Shemeji zangu wakurya sasa dunia imebadilika

    Sina nia ya kukashfu wa kutukana kabila la mtu, ila hapa natoa mtazamo wangu mimi kama mtimawachi. Tukija kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinakiri kabisa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Tumeaswa kuwapenda wake zetu, mtume Mohammad ameonya kuhusu kupiga mke akaongeza kama ikibidi mpe pigo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki. Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
Back
Top Bottom