dunia

  1. Gama

    JamiiForums Tanzania Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

    Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated. Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi...
  2. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wewe uliyenirudishia shilingi 10 badala ya jero nakwambia hii dunia ni ndogo sana

    Tutaonana tu 😡😡
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

    Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake. Amina
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Katika dunia ya sasa ambayo watu huweza kujuliana hali kwa njia ya simu/mitandao, muheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically" Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anaitwa Adonijah yeye alikuwa anatufundhisha somo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa: Mkenya ateuliwa kusimamia taasisi ya kimataifa ya GESCI (Global e-Schools and Communities Initiatives)

    Ndio kama hivyo, mpo? Kila tukigeuza anateuliwa Mkenya. ======== Prof Emmanuel Mutisya has been appointed as the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities Initiatives (GESCI). Prof Emmanuel Mutisya has been appointed the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities...
  7. martinezstavo

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje ikiwa Trump akiingia msituni kwa kutokubaliana na mambo yanayotokea Marekani?

    Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata. Bado maafisa hawajataja jina la mwanamke huyo lakini polisi wanasema alikuwa raia wa kawaida. Aidha, mtu mwingine...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

    Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
  10. BAK

    JamiiForums Tanzania Bado Dunia ina watu wema sana

    Bado dunia ina watu wema hata kama ni wachache. Jana nilielezea kisa cha Jaji mmoja ambaye alidai mwenye bahati kushikana mkono na mimi. Ni kauli kubwa sana kuambiwa toka nizaliwe. Hadi nikatamani nijipitishe pale "Central" wanikamate kwa uchochezi halafu kesi apelekewe yule Jaji 🤣 Siku moja...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  12. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    Umuofia Kwenu wana JF, Kheri ya Mwaka Mpya! Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam. Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

    Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige
  14. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sajenti Mbavu Moya katika Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI)

    Nyarugusu, Tanzania Source : Tanganyika TV VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA April 14, 2020 SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...
  15. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur an nchini Senegal afariki dunia.

    Kwa mujibu wa taarifa, Shaykha Maryam Niasse alifariki Jumamosi katika mji mkuu wa Senegal, Dakar. Shaykha Niasse ambaye alikuwa maarufu kama ‘Mhudumu wa Qur’ani’ alianzisha Kituo cha Elimu ya Qur’ani cha Shaikh al-Islam Hajj Ibrahim Niasse huko Dakar mwaka 1984. Kituo hicho sasa kimanzisha...
  16. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

    Habari wadau! Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike? Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k? Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli asilimia kubwa ya watu mashuhuri na matajiri kwenye hii dunia, utajiri wao sio wa halali au umetokana na mambo ya kichawi au Masonic?

    Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha. Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas. Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  19. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

    Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufa imefanya dunia ianze safari ya kiama

    Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida. Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
Back
Top Bottom