dunia

  1. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya kufanya katika mfumo wetu wa elimu ili uweze kuendana na dunia ya sasa

    Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa? Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
  2. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Kutoka Selecao mpaka La Albiceleste – yafahamu majina ya maarufu ya timu 32 zitakazocheza Kombe la Dunia 2022

    Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

    China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
  4. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  5. ward41

    JamiiForums Tanzania Case closed, mbabe wa dunia kashajulikana

    Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga. Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni...
  6. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Wakuu habari, Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia. Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

    Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu. Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kushiriki kombe la dunia la mchezo wa kabaddi

    Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
  11. ShL

    JamiiForums Tanzania Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Tanzania inavyoweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwepo kwa changamoto za uchumi zilizosababishwa na UVIKO -19 na vita kati ya Urusi na Ukraine

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya yamesababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei za vyakula ,ongezeko katika bei ya mafuta na gesi pia kupungua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za kiusalama zinavyoisumbua dunia ya leo

    Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi utakubaliana na mimi kwamba dunia ya Leo kiujumla na kwa nchi moja moja zinakabiliana na matishio...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani kinatumika kuwaita waliopigana vita kuu ya dunia mashujaa?

    Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu zetu walihusika katika biashara ya watumwa kwa kuwakata ndugu zao na kuwauza kwa wageni. Wakati...
  15. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  16. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kushika Nafasi ya 7 Mashindano ya Dunia ni Ushindi Kwetu.

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita. Kwa upande wa Mwanariadha...
  17. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  18. njasulu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tumejipanga kiasi gani na mdororo wa uchumi unaofuata ulimwenguni

    Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi. Chanzo chake Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
  19. avogadro

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Dunia ya Riadha yanayofanyikan Oregon Marekani na uhusika wa Tv za bongo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC Nilishangaa kumwona...
  20. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
Back
Top Bottom