dunia

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dunia haimpatii Mbowe heshima yake?

    Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk. Sidhani kama dunia...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Dunia itakufundisha kutokudharau wengine

    Anaandika, Robert Heriel Vijana wenye Dharau na kiburi mnawaona Watu wazima wenye age 45-70. Msiwaone wapole😂😂 msiwaone Kama wamezubaa 😊 Walikuwa wanaringa Kama ninyi, walikuwa na Dharau na kiburi Kama ninyi. Ila Dunia imewafundisha, somo limewaingia. Ujana maji ya Moto wahenga walishasema...
  3. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia

    Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
  6. Mr Kachila

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi kuiendesha Dunia

    Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira yanayomzunguka na hata kimahusiano. Binafsi neno mapenzi, kwa kawaida hubeba hisia za ndani...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia

    Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria. Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe. Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga", Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unaujua ugonjwa wa Mafua ya Nyanya ulioanza kuivuruga tena dunia?

    Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya. Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  10. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mwanamke katika kujenga au kubomoa Familia, Taifa na Dunia

    Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia REFFERENCE (Mwanamke) 1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

    KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  14. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

    Wakuu. Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf...
  15. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mikhail Gorbachev afariki Dunia

    Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow Marehemu atakumbukwa kwa kufanikiwa kumaliza Cold War bila ya umwagaji wa damu, pia atakumbukwa kwa...
  16. Godfrey Constantine

    JamiiForums Tanzania SoC02 Iweke dunia sehemu salama hata kama huna dini

    IWEKE DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA NA SAHIHI YA KUISHI BINADAMU HATA KAMA HUNA DINI. Kumekuwa na ongezeko kubwa la makundi yanayotendeana wema na mazuri wao kwa wao ndani ya kundi lakini hawawezi kutenda wema huo nje ya kundi bali kutendea ubaya kundi lingine kwa maana wapo tofauti kiitikadi nao...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

    Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watoto 316 waugua surua, watatu wafariki dunia

    Watoto watatu wamefariki dunia na wengine 316 wamethibitika kuugua ugonjwa wa surua katika kipindi cha mwezi mmoja visiwani Zanzibar. Wilaya ya Magharibi B Unguja inaongoza ikiwa na vifo viwili na zaidi ya watoto 200 wamebainika kuwa na surua. Wilaya ya Magharibi A ina wagonjwa zaidi ya 70 na...
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni namna gani tutaipiku Uchina katika Science na teknolojia, na kuwa wawekezaji wakubwa na wauzaji wa teknolojia kote duniani

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza katika Elimu yetu kwa kiwango cha mapinduzi. Pia hili lilikua ni ndoto kwa Uchina miaka ya 60's kuipiku...
Back
Top Bottom