dunia

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

    Ama kwa hakika. Kizuri hakidumu. Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi. Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi. Tunakukumbuka sana Mkuu.
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Utakwendaje mbinguni wakati unaishi dunia iliyotawaliwa na dhambi?

    Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi? Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa kama watu wa imani wanavyodai. Inawezekana mtu akajihisi anatenda mema na ni mchamungu lakini...
  3. Kalpana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
  4. J

    JamiiForums Tanzania KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  5. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence rapper-FN Meka dunia hii

    Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
  6. MKAKA WA CHUO 2

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupo katika dunia ya mashindano, washindi na watu wao ndio watapata raha na amani ya dunia

    TUPO KATIKA DUNIA YA MASHINDANO, WASHINDI NA WATU WAO NDIO WATAPATA RAHA NA AMANI YA DUNIA. Maisha yetu ya kila siku yanahusisha harakati tofautitofauti ambazo tunazifanya katika mazingira mbalimbali. Harakati hizi kwa kawaida huwa na lengo kuu moja la kutuingizia kipato ili tuweze kuendesha...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka rekodi mpya ya Dunia

    Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki Dunia leo Agosti 21, 2022

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors Forum (TEF)
  9. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Dunia

    Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani. Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mzee Somo wa Simba afariki Dunia, kuzikwa leo Mtwara

    Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo. Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

    Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.

    KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia. Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani mwa Tanzania na Zambia, ikabidi nijiambie kwamba hiki ni kijiji katika ulimwengu wake. Kwa Watanzania...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema: "Ni kweli amefariki jana saa tano...
  18. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wote wanakula kwa jasho? Jinsi watu wasiofanya kazi walivyotokea duniani

    Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima. Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni. Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky sasa anataka dunia yote iwasuse warusi wote. Warusi wote warudi urusi!! Dunia yao iwe urusi!!

    Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni...
  20. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Back
Top Bottom