dunia

  1. JamiiForums Tanzania UK Gov. confirms 9 in every 10 COVID Deaths over the last year have been among the Fully/Triple Vaccinated

  2. JamiiForums Tanzania Biden awache kumtusi Putin. Hatutaki vita ya tatu ya dunia

    Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi. Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza kuwa siku mbili kabla ya tangazo la matokeo ya kura za maoni aliyosema Putin kuwa Urusi ina silaha za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa kombe la dunia Qatar kuhairishwa

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein. Hii itasababisha vita ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  5. JamiiForums Tanzania Tuwache lawama juu ya jeshi la polisi. Safisha safisha ya wahalifu wanaotumia silaha hufanyika hivi dunia nzima

    Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua. Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha. Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu. Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga...
  6. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia inaingia katika aina mpya ya USB4 toleo la 2.0

    Kwa sasa, vifaa vingi ambavyo vinatumia port ya USB Type C ambazo ni latest, zinatumia aina ya USB Type-C 3.2 ambayo ina Max speed ya 20GB kwa sekunde. Teknolojia inazidi kubadilika na dunia imeingia katika mfumo mpya wa USB 4 na sasa ni toleo la 2.0. The USB Promoter Group ni kikundi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

    Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
  11. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na ufadhili. Harakati zake hazikuwahi kuwa nyepesi, Hali bora ya maisha ya wananchi wake haikushuka kama...
  12. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia katika hali ya sasa. Ulemavu, magonjwa, vilio, mauaji, vita, ugaidi, ubakaji, rushwa n.k, vinaifanya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  14. T

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

    Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano. Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK. Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi Soma hapa Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
  17. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

    Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake. Balozi Paul Rupia...
  18. JamiiForums Tanzania Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na hiki kitendo, kweli sasa naamini Dunia imebadilika!

    Nimeshangaa wamasai wanalia. Wamasai wanalia Sabaya aachiwe! Hii inashangaza. Zamani hili jambo lingeitishiwa kikao na Maleigwani huko kwao. Mmasai anatakiwa apandishe Mori siyo kulia. Miaka hii Mmasai analia? Wamasai walikuwa walinzi miaka yetu walinzi wa kuaminika. Sasa hivi wasusi, Daaah...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…