dunia

  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

    Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu? https://www.aljazeera.com/tag/israel-palestine-conflict/ hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Simba ilivyodondosha points kizembe ambazo zingerahisisha safari ya Kombe la Dunia

    Jana wakati nashushia pilau langu kwa mvinyo, nikaanza kukumbuka points ambazo Simba imezidondosha KIZEMBE SANA katika hii misimu minne iliyotumiwa na FIFA kujua timu za kwenda Kombe la Dunia. Nimegundua Simba ingekuwa makini, leo hii tunapoongea hapa ingekuwa na point si chini ya 70 na hivyo...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  4. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Cameron: Lazima shughuli za Iran zinazotishia utulivu wa dunia zidhibitiwe

    ReutersCopyright: Reuters Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya Kati. Cameron alithibitisha katika mahojiano na gazeti la Uingereza la "The Sunday Telegraph"...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala na fikra ya kuunda tanu kalieni camp bombay mkesha wa xmas 1945 baada ya kumalizika vita vya pili vya dunia

    https://youtu.be/vbYWViPdGYk Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na Judith Listowel na kuchapwa mara ya kwanza London 1965.
  6. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

    Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100, Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi.... Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia Yaipa Tanzania Trilioni 2.8

    Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia sekta binafsi. Pia imeiidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 385 (Sh bilioni 964.3) kwa ajili...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  10. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  11. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Dunia: Al Ahly yatota kwa Fluminense, yachapwa 2-0

    Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil. Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii na inamsubiri mshindi wa kesho kati ya mabingwa wa vilabu vya Ulaya Manchester City ya Uingereza...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  13. Cecil J

    JamiiForums Tanzania UN inaonekana kukosa meno kwenye masuala nyeti yanayoikumba Dunia. Dunia inapasuliwa katika pande mbili

    ....
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari

    Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

    Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  17. Chinga One

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

    Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi. Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35. Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vita vya pili vya dunia. Kumbe wazungu wanaweza kutwangana hivi?

    VITA VYA PILI VYA DUNIA. Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani. Serikali za Australia, New Zealand, Nepal, Afrika Kusini na Kanada zilishikamana...
Back
Top Bottom