Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.
Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi...
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa.
Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
Kitendo cha HAMAS kuvamia Israel na kuua baadhi ya Raia, kumimina risasi uraiani, na kuteka watu ikiwemo watanzania wawili, icho tayari ni kitendo cha Kigaidi (Terrorism Act), rejea maana ya neno 'Terrorism' au 'Ugaidi'. Hata hivyo mwanzo watu walionekana kufurahishwa na vitendo vya Hamas...
Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la mikopo na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya.
Takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya inaonesha kuwa deni hilo lilikuwa Ksh1.57 trilioni (TZS trilioni 26.1]...
Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.
Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia?
1. The holy scriptures say YES.
MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu"
( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.
Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Hali ilivyo sasa mitaa ya bloemfontein baada ya southafrica kumfunga uingereza kwenye kombe la dunia la rugby leo hata ukiomba papa unapewa bure.
---
England 15-16 South Africa: Handre Pollard pounces to send Springboks into Rugby World Cup final
A try for...
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.
Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.
Je dunia inampenda baba bora/mume bora?
The evidence says NO.
Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA
Baada ya...
Baada ya mgonjwa wetu kurudishwa hospitali kutokana na kushindwa, ikatulazimu kujaribu upande mwingine, sasa zunguka weeee bila bila, afadhali hakuna.
Jana tukatonywa juu ya uwepo wa mtaalamu mwingine kijiji fulani, tukaondoka huko tulikokuwa na leo asubuhi tumefika kwa huyo...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.
Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini.
Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake.
George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
Gianni Infantino
• Fatma Samoura
• Arsène Wenger
• Salman bin Ibrahim Al Khalifa
• Alejandro Dominguez
• Patrice Motsepe
• Veron Omba
• Augustin Senghor
• Ahmed Yahaya
• Seidoi Mbombo
• FA Presidents in Africa
Hii yooote ni kazi ya Simba SC
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi.
Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, na hasa kuleta maendeleo kwa nchi zilizopokea miradi chini ya...
Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
Mathalan Gustavo Petro rais wa Colombia amemtaka balozi wa Israel...
Mtu huyo aliyetajwa kama Gaidi, aliwapiga Risasi Raia wawili wa Uswidi na kumjeruhi mmoja kabla ya mechi ya Ubelgiji ya kufuzu #Euro2024 dhidi ya Uswidi jijini Brussels ameuawa wakati tahadhari ya Ugaidi ikitangazwa kwa kiwango cha juu zaidi
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Annelies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.