Nilikuaga sielewi kwanini kuna sehemu ukipita huruhusiwi kupiga picha, nilikuwa hata sijui kwanini. Nilikuwa sifahamu kwanini familia flani flani hasa za kifalme sio watu wapenda mapicha picha, kujionyesha onyesha.Nilikuwa sitambui kwanini yote hayo ni "marufuku" kwa aina flani ya watu nilidhani...
Usipojitambua mwenyewe wanaojitambua watatafuta namna ya kukutambulisha na wewe kukubali utambulisho huo kuwa ni wewe.
Dunia umejawa na upekee kwa ajili ya kila mtu wapekee kama wewe na siyo mwingine na hii inatokana na ukweli kuwa upekee ndiyo ladha ya maisha "varieties is the spice of life"...
Sijui ni za kunyapia nyapia ama kweli ila uchaguzi Serikali za mitaa ni zaidi ya Korosho wenye akili zinawauma japo yaliotokea Zanzibar yanaweza kufanyika hapa kwetu.
Japo yakifanyika mjue mabeberu watajibu kwa silence ya ule usiku wa Yesu kufufuka. Fukuto hili litaendelea mpaka uchaguzi 2020...
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
KAZI KUBWA YA AWAMU YA TANO ILIKUWA KUANDAA BAJETI YA KUJENGA OSTABEY MPYA KATIKA JIJI LA DODOMA KWA AJILI YA MABALOZI WA NCHI ZA AFRIKA KAMA KENYA, UGANDA, MALAWI, NIGERIA N.K
KWA WALIOBOBEA KATIKA MAHUSIANO YA KIKANDA NA KIMATAIFA HAKIKA NI GHARAMA NDOGO KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amesema amepokea malalamiko kutoka kata 72 kuhusu dosari mbalimbali katika uchukuaji na urejeshaji fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uchukuaji na...
Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources.
Jisomee hapa:
====
Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New...
Ndugu wana jamvi, amani ya bwana iwe nanyi wote.
Naam dunia imeenda kasi sana, maendeleo ya sayansi na teknolojia ni makubwa sana katika kipindi hichi kuliko wakati wowote mwingine katika historia ya uwepo wetu sisi binaadamu hapa duniani.
Wakati mataifa ya dunia ya kwanza (MAREKANI, CHINA...
LICHA ya serikali kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini, Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imetaja vikwazo 12 vya ufanyaji biashara nchini.
Katika ripoti hiyo ya mwaka 2019/20 imeonyesha kuwa Tanzania imeboresha baadhi ya mambo kiasi ya kuifanya kushika nafasi ya 141 kati ya 190 mwaka huu...
Mwanasiasa mkongwe Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki. Mungu amuweke mahali pema. Mzee Mapalala alizaliwa Februari Mosi, 1936.
Mtoto wa Mzee Mapalala, Bernard James amesema baba yake amefariki dunia leo saa 4:30 asubuhi hospitali ya Kairuki alikokuwa tangu wiki...
Donna Francis amekiri mashtaka ya mauaji yaliyotokana na uzembe baada ya kumfanya upasuaji mwanamke (34) ambaye alienda kwake kwa ajili ya tiba ya kuongeza makalio
Donna ambaye hana leseni ya kufanya shughuli za kitabibu alikuwa akifanya upasuaji wa kuongeza maumbile kwa mwanamke huyo mnamo...
Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta.
Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika.
Ni pale UN itakapokuwa na jeshi lake, lenye kupokea order kutoka baraza moja la kijeshi ujue dakika za kutawaliwa...
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.