dunia

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ni Kati ya mwaka 2100 / 2500 na hizi ndio sababu zangu

    Msiogope !! Covid 19 sio mwisho wa dunia. Mwisho wa dunia will be like around the year 2100 to the year 2500. And these are my reasons. The world can only contain 10 billion people. In other words, the capacity of our planet is to carry only 10 billion people and not more than that. As for...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma afariki Dunia

    Aliekuwa Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma Ngugu, Antonio Manyanda amefariki duni. Mwili inasemekana uko Hospitali ya Lugalo ukifanyiwa uchunguzi. Inaonekana kama heart attack. Alikimbizwa BOSCH usiku lakini akafariki kabla ya kufika saa 7 usiku. Alikuwa arudi Dodoma leo asubuhi baada ya Pasaka...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

    Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo. Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hata wababe wa Dunia wanapo kata tamaa ni Mungu pekee tu

    Putin akiri kuwa hali yazidi kuwa mbaya nchini Urusi Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa hali ya Corona nchini humo inaelekea kubaya. Putin, ambaye alifanya tathmini juu ya coronavirus katika mkutano wa baraza la mawaziri uliofanyika kwa njia ya video, amesema kwamba hali katika...
  5. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  6. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika bado wametawaliwa na fikra za kikoloni, Waafrika wananyanyasika Dunia nzima hawachukui hatua. Inauma sana

    Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa. Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu...
  7. sindesunde

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naisi dunia imenizonga ila kama mungu ndio huyu mitihani yake imefika mwisho kwangu!

    Kama kichwa habari dunia imenizonga kwakua inawezakana nilipata furaha ya wazazi kwakua naambiwa baba yangu alifariki nikiwa na miaka 4 napata akili namuona mama angu na kwenda kabulini kwa baba na mama ila hisia maelezo naambiwa nimefanana na mzee!kwa kifupi baada ya kufariki mzee maisha...
  8. CASH MONEY BROTHER-CMB

    JamiiForums Tanzania Dunia inaelekea ukingoni?

    Gumzo wiki hii ukiachilia mbali Corona ni clip inayomuonyesha huyu dada akifanya mapenzi na wanamme watatu!Ni uchafu kiukweli!Huwezi kuamini pamoja na kwamba ni mke wa mtu na wana watoto 3 lakini huyu dada hakuwa na chembe ya aibu hata kidogo na akionyesha wazi kuuzoea huo mchezo wa kupigwa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Libya: Waziri Mkuu wa zamani aliyeongoza mapinduzi yaliyomuondoa Gaddafi madarakani afariki dunia kwa Virusi vya Corona

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mpito nchini Libya, Mahmoud Jibril amefariki dunia baada ya kupata maambukizi ya Virusi vya Corona. Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo wa zamani aliyeongoza mapinduzi yaliyomtoa madarakani Marehemu Muammar Gaddafi mwaka 2011 alilazwa Hospitali baada ya kupata Mshtuko wa Moyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania EWURA msitufanye wajinga; bei ya mafuta soko la Dunia ikipanda mnapandisha haraka bei ya mafuta nchini lakini ikishuka mnajifanya vipofu na viziwi!

    Ninachochukia siku zote ni pale mtu anapoamua kukutumia kama mjinga ili apate faida. Huwa naona kama ninatukanwa. Na huu ndio mchezo ambao EWURA wamekuwa wakitufanyia Watanzania. Utaona kwamba pale ambapo bei ya mafuta katika soko la dunia ikipanda, mara moja EWURA hupandisha bei ya mafuta...
  11. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Mkopo uliokwama Benki ya Dunia watoka, sababu za kukwama zatajwa

    Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Benki ya Dunia ilichelewa kutoa fedha hizo kufuatia maombi ya baadhi ya wanasiasa wa upinzani na asasi za kiraia waliokuwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo China ilivyotengeneza COVID-19 kuangamiza watu ili kuidhibiti dunia kiuchumi

    December mwaka Jana 2019 ulilipuka ugonjwa wa Corona jijini Wuhan nchini China. Hapo hapo Wuhan ikawa Locked. Taharuki ikaanza duniani kote. Idadi ya wanaokufa ikaanza kutolewa ikiongozwa na China. Kwasababu ugonjwa umeanzia China, na ni nchi ya viwanda, definitely Test Kits za Corona zitaanza...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Andrew Jack wa Star Wars amefariki dunia

    Description Andrew Jack was a British dialect coach and actor from London who had worked on over 80 motion pictures since 1982. Born: 28 January 1944, London Died: 31 March 2020, Surrey Spouse: Paula Jack (m. 2000–2018) Children: Rupert Hutchinson, Katherine Morgan Parents: Stephen Jack, Julia...
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville Yhombi Opango afariki dunia kwa Covid-19

    Jacques Joachim Yhombi Opango Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, amefariki dunia jijini Paris. Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, ambaye alitawala nchi hiyo kati ya...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wakikataa kufanya mapenzi ni mwisho wa dunia

    Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje? Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba. Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
  17. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lazaro Edward Moringe Sokoine Amefariki Dunia

    Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam. Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Mambo: Nilivyozama mapenzini na dalali wa wanawake wanaojiuza

    Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

    UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma. Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔 Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe...
  20. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa zamani wa Simba Asha Muhaji amefariki dunia

    Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu. mungu amrehemu Asha Muhaji enzi za uhai wake ====== Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano. Asha...
Back
Top Bottom