dunia

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

    Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki ya Dunia hupenda kukopesha zaidi kwa ajili ya huduma za jamii na sio viwanda?

    Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shirika la afya la ulimwenguni (WHO) kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kuwa janga la Dunia

    Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tusali Benki ya Dunia itupe $500M

    Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma. Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    Bank ya Dunia imeahirisha kupiga kura ya kuikopesha Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za kimarekani milioni 500 sawa na shilingi trillioni 1.3 za kitanzania kwa ajili ya kufadhili elimu. Kama mnakumbuka Benki ya Dunia ilikuwa ipige kura wiki hii kuamua kama iikopeshe Tanzania au la...
  6. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ikinyimwa mkopo wa elimu na Benki ya Dunia kutatokea nini?

    Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia. Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu...
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

    Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3. Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar...
  8. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Viongozi wa dunia wakutana mjini Jerusalem

    Viongozi mbalimbali duniani wako mjini Jerusalem, Israel kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 75 tangu kambi ya mauaji ya Auschwitz ilipokombolewa. Kumbukumbu hiyo inakwenda sambamba na kumbukumbu ya mauaji ya Wayahudi. Viongozi na wawakilishi kutoka nchi zipatazo 50 watakusanyika katika kituo cha...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moto wa nyika Australia: Wamarekani watatu wafariki dunia katika ajali ya ndege wakiwa katika harakati za kuzima moto

    Ndege inayotoa msaada kwa kuzima moto kwa kutumia maji dhidi ya moto wa nyika Januari 10, 2020 huko Penrose, New South Wales, Australia. Ndege iliyokuwa ikitoa msaada wa kuzima moto kwa kutumia maji kwa minajili ya kukabiliana na...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  11. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Picha: Makazi ya kwanza tuwapo Mars

    Kuanzia 2022 na 2024 baada ya kufika kwetu katika sayari ya Mars, tutaanza kwa kuishi katika makazi ya namna hii huku tukiitransform Mars kuwa nzuri zaidi. Picha ikionesha majengo yaliyojengwa kwa teknolojia ya 3D Printing. 2022 na 2024 tukifika kuanza shughuli za ujenzi na utafiti akinifu...
  12. kimpango

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  13. Muokota Makopo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

    Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa! Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa. Pumzika kwa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya uchumi wa dunia 2020 kuwa madogo huku uchumi wa China ukitarajiwa kuporomoka

    Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka. Ripoti mpya kuhusu mustakbali wa uchumi wa dunia inayotolewa kila baada ya nusu mwaka na Benki ya...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DRC: Wafungwa 11 wafariki dunia kutokana na uhaba wa dawa Kinshasa

    Wafungwa 11 wamepoteza maisha katika gereza kubwa nchini DRC la Makala jijini Kinshasa, tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2020. Ripoti zinasema kuwa, vifo hivyo vimesababishwa na uhaba wa chakula na dawa katika gereza hilo. Wafungwa watatu walipoteza maisha siku ya Jumatatu, baada ya...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto afariki dunia baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili

    MTOTO Agnes Kiraba (3), mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kirado wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili. Mtoto huyo alipatwa na mauti katika Hospitali ya Wilaya...
  18. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Dunia inachekesha sana

    Binti anaanza ngono kuanzia miaka 12 hadi miaka zaidi ya 20 na utitiri wa wanaume hadi kuta za uke zinalegea baadae akiolewa anaanza oo..h eti mwanaume huyu ana kibamia. Uke umeulegeza mwenyewe unategemea radha uipate wapi! Mabinti wa kisasa kila ukikagua picha zao insta na mitandao mingine ya...
  19. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania The killing of Qasem Soleiman: The US government has done a huge mistake that will cost its Economic interest in the Middle East

    Trump made a huge mistake.He was supposed to bring peace and achieve an important peace "contract"with Iran since they were expecting that to happen. We want peace in the world, no more deaths.Go back home and leave innocent people live their lives. I hope that UE, Russia ,China and Japan...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nitaendelea kutumbua majizi 2020

    Aidha, alitaja miradi hiyo kuwa ni ununuzi wa ndege, kujenga reli na elimu bure, huku akitaka Watanzania kudumisha amani na upendo ili uwe mwaka wa maendeleo na ustawi kwa taifa. Kwa mujibu wa salamu za Mwaka Mpya kwa Watanzania zilizopo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Magufuli...
Back
Top Bottom