dunia

  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 11 afariki Dunia baada ya kulazimishwa kula mchele

    Niko hosptali moja hapa Goba naona kilio na simanzi vimetawala. Nilipouliza baadhi ya ndugu wakasema dada wa kazi alikuwa akimlazimisha mtoto kula mchele ukaingia koo la hewa. Walipomfikisha wakakuta mtoto bado anahangaika, Hospitali wakajaribu kumsaidia ndipo wakatoa punje kadhaa za mchele...
  2. JamiiForums Tanzania Zitto: Sio kosa kuiandikia barua Benki ya Dunia isiipe mkopo Tanzania

    Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo. Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
  3. JamiiForums Tanzania Niger: Watu 20 wafariki dunia baada ya kukanyagana wakati wakipokea msaada

    Watu 20 wanmepoteza maisha baada ya kukanyagana wakati wakipokea msaada wa Chakula na Fedha katika Mji wa Diffa huko Niger. Waliofariki ni Wanawake 15 na Watoto 5. Inadaiwa kuwa maelfu ya watu walijitokeza kupokea msaada huo uliokuwa unatolewa na Gavana Babagana Umara Zulum katika Kituo kimoja...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzia: Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Elias Kazimoto afariki Dunia

    Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam. Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

    Muigizaji wa kike aliyekuwa mmoja wa wahusika katika filamu ya Queen of Katwe, iliyoangazia mtu mwerevu kutoka maeneo ya makazi duni ya Uganda, aliekuwa anacheza chess, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 15, kulingana na chombo cha habari cha Uganda. Nikita Pearl Waligwa alikuwa amepatikana na...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi amefariki dunia leo Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi amefariki dunia leo Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu. Kaisi aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na mkuu wa Wilaya, Mkoa katika Serikali ya Awamu ya Kwanza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  8. JamiiForums Tanzania Nguvu ya usumaku ya Ncha ya Kaskazini ya Dunia na utulivu wa usingizi wa Binadamu

    Dunia ina mengi yaliyogunduliwa na mengine wanaendelea kugundulika na kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mengi zaidi yanapata majibu na ufafanuzi. Leo natamani kuliweka suala hili la utulivu wa usingizi na nguvu ya uvutani ya Dunia jambo ambalo limepewa majibu mbalimbali...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini bunge lisiwaandikie Benki ya Dunia kupinga hoja za Mbunge Zitto badala ya "kutamani" kuchukua njia ya mkato?

    Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja? Zitto ameiandikia Benki ya Dunia katika nafasi yake kama Mbunge na siyo kiongozi wa chama. Hivyo Bunge lina nafasi nzuri ya kumkanusha Zitto kwa kuiandikia WB ukweli ulivyo badala...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi imeanza gesi Oryx yapanda bei kutokana na mabadiliko soko la dunia kuanzia Feb 5

    Taarifs kwa watumiaji wa gesi, Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi Beo wanazotakiwa kuuza n Kg 15 54'000 Kg 6. 22'000 KG 38. 105" 000 Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa Ahsanteni kwa uvumilivu wenu...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

    Rais wa Pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya asubuhi ya leo. Mzee Moi amefariki leo Februari 04, 2020 alfajiri saa 11 na dakika 20 (5:20am) akiwa na umri wa miaka 95 (ingawa aliyekuwa katibu wake, Lee Njiru amesema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

    SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

    Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Benki ya Dunia hupenda kukopesha zaidi kwa ajili ya huduma za jamii na sio viwanda?

    Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
  17. JamiiForums Tanzania Shirika la afya la ulimwenguni (WHO) kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kuwa janga la Dunia

    Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tusali Benki ya Dunia itupe $500M

    Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma. Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia...
  19. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    Bank ya Dunia imeahirisha kupiga kura ya kuikopesha Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za kimarekani milioni 500 sawa na shilingi trillioni 1.3 za kitanzania kwa ajili ya kufadhili elimu. Kama mnakumbuka Benki ya Dunia ilikuwa ipige kura wiki hii kuamua kama iikopeshe Tanzania au la...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ikinyimwa mkopo wa elimu na Benki ya Dunia kutatokea nini?

    Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia. Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…