Dunia ya sasa imepoa sana.
Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote.
Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha.
Vyombo vya ulinzi...
Dar es Salaam
Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam
Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku.
Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta
Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
africa
biashara
biasharabora
bora
dar
dar es salaam
dunia
east afrika
faida na hasara katika biashara
hekima
jijini dar es salaam
kenya
kuchagua
maduka
mambo 10
mwala
pos
tanzania
ujuzi
world
Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani?
Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
Dunia inaweza isije ikashuhudia tena tamthilia inayoweza kuunganisha watu duniani kote kama Game of Thrones.
Sio tu kwa sababu ya bajeti kubwa au madragon, bali kwa sababu ya jinsi ilivyobadilisha utamaduni wa burudani duniani.
Kila Jumapili usiku, mamilioni ya watu katika kila kona ya dunia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu .
Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Turudi nyuma kidogo kabla ya haya.
Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine.
Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana 👋Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! 😱🛰️
Kati ya Septemba 15–16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon
May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus
May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah
Aameen
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
https://youtu.be/cX063ShNo28?si=hRyyEofE5h3OD-f_
"The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism.
The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate...
Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi.
Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina.
Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya...
Natamani ningekuwa muhenga angalau hata kwa siku moja, ili nionje ladha kidogo ya uwezo wa kuona mbali. Iliwezekanaje miaka tele iliyopita, muhenga mmoja akang'amua kuwa, kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua? Leo hiki ndicho kinachoendelea kwenye kesi ya Lissu.
Kwamtazamo wa haraka haraka...