dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  2. H

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  3. H

    DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI

    DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga...
  4. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  5. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  6. H

    Dkt. Mwigulu atoa wito wa maandalizi ya mapema kukabili athari za El Niño

    DKT. MWIGULU ATOA WITO WA MAANDALIZI YA MAPEMA KUKABILI ATHARI ZA EL NIÑO ▪️ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko. ▪️ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri - Ilongero. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa...
  7. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atoa wito wa Maandalizi ya mapema kukabili athari za El Nino

    ▪︎ Atoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko ▪︎ Aagiza ndani ya Septemba kutangazwa zabuni ya ujenzi wa barabara km 11 za Igauri–Ilongero WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania na viongozi katika ngazi zote kuchukua tahadhari na kujiandaa mapema...
  8. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri ya Bahi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga kuboresha mazingira ya utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi. Akiwasilisha taarifa...
  9. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: IFIKAPO 2030 MWANZA–DODOMA KWA SGR

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  10. H

    Mwigulu Nchemba: Ifikapo 2030 wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waje Dodoma wakiwa SGR kutoka Mwanza

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji. ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa. ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  11. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao

    ▪︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS) ▪︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito wa kuhakikisha Watanzania wanashiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, akisisitiza kuwa uwezeshaji wa wananchi ni msingi...
  12. Zack Abdul

    Nchemba ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 03, 2026 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.
  13. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  14. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu Ashiriki Kikao cha Bunge

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  15. H

    Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  16. H

    Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  17. H

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  18. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  19. H

    Kishindo cha ziara ya kushtukiza ya Dkt. Mwigulu yaacha neema kwa wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto. Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi...
  20. Crocodiletooth

    Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
Back
Top Bottom