dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Dkt. Mwigulu akaribisha wawekezaji katika kilimo Tanzania

    DKT. MWIGULU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KATIKA KILIMO TANZANIA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewakaribisha wawekezaji kutumia fursa zilizopo Tanzania katika uzalishaji na usindikaji wa mazao, umwagiliaji, pembejeo, uhifadhi, mifugo na uvuvi. Akihutubia Mjadala wa Kimataifa wa Norman E...
  2. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba : usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    DKT. MWIGULU: USALAMA WA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema usalama wa chakula ni msingi wa usalama wa taifa na uthabiti wa uchumi. Amesisitiza kuwa wakulima wawezeshwe kupata mitaji, teknolojia, pembejeo bora na masoko ili kuimarisha uzalishaji. Amesema...
  3. H

    Dkt. Mwigulu: Njaa duniani inahitaji suluhisho la muda mrefu

    DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura. Amesema hayo Oktoba 22...
  4. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  5. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tunataka kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inalenga kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani kutokana na uwekezaji ambao umefanyika kwenye sekta ya kilimo. “Matarajio yetu ya muda mrefu yameelezwa katika Dira ya Maendeleo Tanzania ya 2050. Chini ya lengo la kwanza...
  6. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Wakulima wetu wakinufaika, Afrika inastawi

    Asema wingi wa mavuno ulete maisha bora kwa wakulima WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mafanikio ya mageuzi ya kilimo yanapaswa kupimwa kwa ongezeko la kipato na ustawi wa wakulima na kuangalia zaidi suala la masoko ya uhakika, bei zenye tija na miundombinu ya kuhifadhi na kuchakata...
  7. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Vijana wa Tanzania wanufaike na programu za kimataifa za kilimo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kuanzishwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Taasisi ya Tuzo ya Chakula Duniani (World Food Prize Foundation) ili kuwawezesha vijana kupata mafunzo, kufanya utafiti na kujiajiri kupitia kilimo cha kisasa. Uongozi wa taasisi hiyo umepokea pendekezo...
  8. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA AGRA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuimarisha kilimo na kuwawezesha vijana kushiriki katika sekta hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 21, 2026, kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...
  9. H

    Dkt. Mwigulu akutana na Rais wa AGRA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuimarisha kilimo na kuwawezesha vijana kushiriki katika sekta hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 21, 2026, kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...
  10. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu aongoza mjadala kuhusu uwekezaji kwenye kilimo biashara

    ▪️Asema ukiwekeza Tanzania, umewafikia watu milioni 170 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina fursa nyingi za uwekezaji kwenye kilimo na akawataka wenye mitaji waje kuwekeza Tanzania ambapo wataweza kufikia soko la watu milioni 170 kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati...
  11. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  12. H

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  13. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kumuombea baba wa taifa Mwalimu Nyerere, Sumbawanga

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  14. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu awahakikishia wawekezaji mazingira rafiki ya uwekezaji Tanzania

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza. Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji...
  15. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

    aziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Viongozi hao wamejadili namna ya...
  16. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  17. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu mgeni rasmi harambee ya maendeleo KKKT

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia. Harambee hiyo inafanyika katika...
  18. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  19. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tanzania na Qatar bado tuna fursa nyingi za kiuchumi

    Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili. “Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
  20. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu akutana na Waziri Mkuu wa Qatar

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar, jijini Doha. Katika mazungumzo hayo, viongozi...
Back
Top Bottom