dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atembelea maktaba ya taifa ya Qatar

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa na Rais wa Maktaba hiyo, Dkt. Mohamed Bin Ahmed Bin Twar Al Kuwari, na kupata fursa ya kufahamu...
  2. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tunzeni uaminifu na jina la nchi yetu, fanyeni kazi kwa bidii

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Septemba 26, 2026) wakati akizungumza na madareva wa Kitanzania zaidi ya 500 walioajiriwa...
  3. H

    Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  4. H

    Dkt. Mwigulu ateta na Waziri wa Afya wa Tunisia

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Afya wa Tunisia Mustapha Farhan ambapo wamejadili kwa kina uwezo wa kuzalisha wa dawa ndani ya nchi, tiba ya mionzi na tiba kwa njia wa mtandao. Dkt. Mwigulu amesema kuwa katika hali ambapo...
  5. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    ▪︎ EU kuwekeza Euro milioni 50 kusaidia kutokomeza sotoka barani Afrika WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya...
  6. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  7. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu awasili Roma, italia kumwakilisha Rais Samia suluhu Hassan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026...
  8. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026 amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.
  9. H

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  10. H

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  11. H

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa...
  12. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Ndani ya wiki moja tutachukua hatua kushusha bei ya Saruji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Simiyu. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne...
  13. H

    Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

    DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa...
  14. Zack Abdul

    LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  15. R

    Dkt. Mwigulu: Mgonjwa mahututi asiombwe hela ya Mafuta ya Ambulance

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekataza tabia ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuombwa fedha za mafuta ili kuwawahisha hospitalini kwa kutumia magari ya wagonjwa. Akizungumza Septemba 14, 2026, wakati wa ziara mkoani Simiyu, wilayani Itilima, Dkt...
  16. H

    Dkt. Mwigulu: Mfumo mpya wa ununuzi Pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja

    DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza...
  17. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Mfumo mpya wa ununuzi pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha wakulima na kuendeleza uzalishaji wa zao hilo. Ametoa agizo hilo leo, Jumatatu Septemba 14, 2026...
  18. Zack Abdul

    LIVE: Dkt. Mwigulu Akihutubia Itilima

    https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  19. H

    Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha Huduma za Afya

    DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
  20. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha huduma za Afya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
Back
Top Bottom