dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: HUKUMU ZA MAHAKAMA LAZIMA ZIHESHIMIWE

    ▪ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya...
  2. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu akutana na balozi wa Sweden, wajadili kuimarisha ushirikiano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Johansson, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 20, 2026. Mazungumzo hayo yamejikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua...
  3. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA COSTECH

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 18, 2026, ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH). Hafla hiyo inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  4. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu awasili Tabora kushiriki harambee ya ujenzi wa Ofisi ya BAKWATA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 17, 2026, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mkoa wa Tabora.
  5. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Zaidi ya majengo 140 ya halmashauri yamejengwa

    ▪ Azindua Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema zaidi ya majengo 140 ya halmashauri yamejengwa katika kipindi cha miaka minne hadi mitano, akimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji huo unaoboresha mazingira ya utoaji wa...
  6. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 11, 2026 📍 Segese...
  7. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Machimbo yasikatishe masomo

    ▪ Asimulia mchango wa mwalimu wake kumrudisha shuleni ▪ Aagiza usanifu wa barabara za kipaumbele Shinyanga ukamilishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wazazi kuhakikisha watoto wao wanahitimisha masomo na kuwasihi wanafunzi wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini...
  8. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AAGIZA MAPITIO YA GHARAMA ZA PEMBEJEO

    ▪ Awataka mawaziri watatu kupitia muundo wa tozo ▪ Aagiza usanifu wa barabara Ushetu uharakishwe ili kuwahi bajeti ▪ Aitaka TANESCO kuunganisha umeme vijijini kwa sh. 27,000 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaelekeza mawaziri wenye dhamana ya TAMISEMI, Fedha na Kilimo kupitia upya muundo...
  9. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Zingatieni masilahi ya wananchi maeneo yenye madini

    ▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike ▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni ▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
  10. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: MSIWATENGE WANANCHI KWA SABABU YA IMANI

    ▪ Ataka walimu wawili waliojitolea kwa zaidi ya miaka mitano waajiriwe kutokana na mchango wao katika ufaulu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya Sungusungu kutowatenga wananchi wala kuwalazimisha kushiriki taratibu zinazokinzana na imani zao, akionya kuwa vitendo hivyo...
  11. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atembelea na kukagua taasisi ya elimu ya ushirika na biashara kizumbi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo (Jumatatu, Novemba 9, 2026), ametembelea na kukagua Taasisi ya Elimu ya Ushirika na Biashara Kizumbi (KICoB), Manispaa ya Shinyanga, ikiwemo jengo la taaluma na bweni la wanafunzi wa kike yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 8.98. Majengo hayo...
  12. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tengeni fedha za mafuta ya magari ya wagonjwa

    ▪ Aonya watumishi wanaodai michango ya mafuta kwa wagonjwa wa dharura ▪ Aagiza uchunguzi wa matumizi na upatikanaji wa dawa ▪ Ataka maandalizi ya barabara za Solwa yaharakishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutenga fedha za mafuta ya magari...
  13. H

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
  14. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Hakuna mnunuzi mmoja wa Pamba msimu ujao

    DKT. MWIGULU: HAKUNA MNUNUZI MMOJA WA PAMBA MSIMU UJAO ▪︎ Amwelekeza Katambi kutoshikilia vitendea kazi kwa makosa ya faini ▪︎Ataka maandalizi ya barabara ya Kolandoto–Kishapu–Lalago yaharakishwe WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaruhusu wanunuzi mbalimbali kununua pamba...
  15. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: SERIKALI IMECHUKUA HATUA BEI YA SARUJI IWE HIMILIVU

    ▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
  16. Zack Abdul

    Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya CAG — Dkt. Mwigulu

    ▪︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika...
  17. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  18. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki hafla ya jioni iliyoandaliwa na Rais Putin, Moscow

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika hafla ya jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya viongozi, wanaoshiriki Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika. Halfa hiyo imefanyika katika Ikulu ya Kremlin, Moscow nchini Urusi. Dkt...
  19. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA IGP CAMILLUS WAMBURA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026 amehani msiba wa Deusdedit Mwita Wambura ambaye ni Baba Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2026.
  20. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atembelea vylor, ajadili masuala ya uzalishaji wa mbegu bora

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 23, 2026, ametembelea kampuni ya Vylor inayojihusisha na utengenezaji wa mbegu za kisasa za kilimo, ambayo zamani ilikua sehemu ya Corteva Agriscience mjini Johnston, Jimbo la Iowa, nchini Marekani. Akiwa katika kampuni hiyo ambayo pia imejikita...
Back
Top Bottom