dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar es Salaam BRT is a massive failure. What can Nairobi learn?

    We have been told many times that Dar BRT is a success story. But is that really the case? According to people who actually use it, the BRT is a failure that requires complete overhaul. The buses and stations are crowded more than an Indian train station. Travellers are worried of contracting...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kupokelewa kesho Agosti 13,2020 jijini Dar es Salaam

    Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Messenger Needed in Dar es Salaam

    JOB: MESSENGER (Full time) Location: Dar es Salaam Job Description: Being familiar with Dar es Salaam city routes, using smart phone and GPS tracking. Render friendly and efficient service daily of delivering documents and other parcels to specified people or locations. Running errands and...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Flyover za Dar es Salaam zamchanganya mjumbe kutoka mkoani

    Kuna jamaa yangu kanichekesha sana, miezi 2 iliyopita alienda Dar es Salaam, kituo cha kwanza kwake ilikuwa kuziona hizo barabara za flyover, ili apate kusafiri kwa kupitia juu. Sasa anadai alichokiona ni tofauti kabisa, yeye alijua zina urefu kiasi kwamba unaweza kusafiri hata kilometers 4...
  6. Caine Chuhira

    JamiiForums Tanzania Hello wadau wa JF

    Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
  7. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam bahati yenu😄😄

    Mshukuru sana Mungu jamaa kapumzika😄😄😄😄
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya ACT-Wazalendo imeketi Dar es Salaam

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha ACT-Wazalendo kinaendele muda huu Hoteli ya Lamada jijini Dar-es-salaam Tanzania. Leo Halmashari Kuu inapitia na kupeleka majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar kwa Mkutano Mkuu utakaofanyika Agosti 05, 2020 katika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufungua Car Wash kwa hapa Dar es Salaam

    Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi abaka mtoto wake na kumpa ujauzito

    Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito. Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
  15. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 70, 80 mpaka 90 kulikuwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam, liko wapi?

    Dar es Salaam Coöperative Development (DDC) lilikuwa na bendi ya Muziki, vikundi vya ngoma za utamaduni, kumbi za starehe nk. Majengo yale yameboreshwa vipi kuwa vitega uchumi endelevu kwa sasa? Vitu hivi vimeishia wapi?
  17. Sabryna

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  18. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

    Habari ndugu, Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM Shukrani.
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

    Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
Back
Top Bottom