dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

    Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam. Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili suala la kuonekana mamba Bahari ya Hindi lipo vipi?

    Wakazi na Wavuvi wa maeneo ya Vijibweni wamepatwa na taharuki baada ya fukwe za bahari katika maeneo hayo kuonekana ‘Mamba’ mkubwa anaetishia usalama wa maisha ya wakazi na wavuvi wa eneo hilo. Baadhi ya wavuvi na wakazi wa eneo hilo wamezungumzia hofu na taharuki waliyonayo dhidi ya Mamba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama. Natanguliza shukran
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

    Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi. Barabara...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set?’ kwa Dar es salaam?

    Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha moto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje?, naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Total Tanzania promises it is in Tanzania to stay as it launches Total Mchinigani Service Station in Goba Dar Es Salaam

    Wanabodi, Haya ni mambo ya Total, TOTAL TANZANIA PROMISES IT IS IN TANZANIA TO STAY AS IT LAUNCHES TOTAL MCHINIGANI SERVICE STATION IN GOBA DAR ES SALAAM. Goba, Dar es Salaam, September 6, 2020: Total Tanzania Managing Director Mr. Jean Francois Schoepp, has promises that Total Tanzania...
  8. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro na Dar Es Salaam hapatoshi

    Major Airlines Increase Flight Trips to Dar Credit: Edward Q Orro in Arusha TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their flight frequencies to the country. Ethiopian Airlines becomes the first among the three, to increase...
  9. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam. Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata exposure ya kutosha tofauti na miji mingine katika nchi husika. Hali ni tofauti nchini Tanzania...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Journalist at BBC Swahili Service - Dar es Salaam

    Journalist, BBC Swahili Service - Dar es Salaam Job Reference: BBC/TP/788771/50346 Contract Type: Permanent Job Category: Journalism Business Unit: News - WSG World Service Location: Dar es-Salaam, Tanzania, United Republic of Job Title: Journalist Job Introduction The BBC is an...
  13. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji. Tukaelekea...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu

    Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu. Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu. Bodaboda , wamekuwa wakikwapua...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar Es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu. DEAL DONE!
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya Mkoa wa Dar es Salaam ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Nimefarijika sana pale nilipomsikia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa anajitambulisha na kuongea na wazee wa mkoa. Huyu mteule anaonekana kutokana na maneno yake kuwa ni mtu wa busara na mwenye maono ya uongozi; amegundua kuwa wazee ni hazina kubwa kwa kiongozi yeyote yule kwani...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku ya uzinduzi wa kampeni kwa upande wa CHADEMA Dar es Salaam kutafurika umati wa watu haijawahi kushuhudiwa tangu tupate Uhuru

    Wakuu kwema! Siku ya uzinduzi wa kampeni, siku ambayo Mh. Tundu Antipas Lissu atatema madini adimu bila kumung'unya maneno. Mimi binafsi nitahudhuria, umati utakaoshuhudiwa siku hiyo utakuwa mkubwa sana. Watumishi walioongopewa mishahara minono watatoroka kazini kwenda kupata tumaini...
Back
Top Bottom