Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Ubungo
Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221
Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620
Kibamba...
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% ,
Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
Taarifa kutoka kwa wakazi hao zinasema kwamba kabla ya mfereji huo usiotumika, makazi yao hayakuwahi kukumbwa na mafuriko makubwa kama yale yaliyotokea hivi Majuzi baada ya mvua kubwa kunyesha, hasa baada ya kuzibwa kwa mifereji ya awali huku mfereji huo mpya ukifungwa bila kutumika licha ya...
Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania...
Wasalaam wapendwa.
Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli.
Karibuni nyote.
Rip Mwalimu Nyerere
Up dates;
DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE
Katibu Mkuu...
Morogoro Road
Jangwani
Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala.
Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam.
Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
Wakuu
CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima
Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
Habari wana JF,
Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.
Huku Kimara leo hata siku...
Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari.
Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
Wadau habari za Jumapili?
Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu.
Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa.
Saivi ni chuo cha...
Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo..
Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi.
Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam
======
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo.
Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa mwamko na hamasa za ki harakati zilizo chanya kwa upinzani.Kumepoa!
Dalili ni njema hasa kwa wagombea...
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
MWILI WA MTU HAUNA SPARES (VIPURI).
Na, Robert Heriel
Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa wazazi na ndugu wa Emanuel Mlelwa ambaye Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa aliyeuawa na watu wasiojulika huko Iringa. Pia niwape Pole wana-UVCCM Na CCM kwa ujumla kwa kuondokewa na kijana wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.