Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia...
https://www.instagram.com/p/DH3KEkaCXDN/?igsh=NW16cTdtZzR5dHE3
My Take
Kama China wameanza kuamini uwepo wa Mungu ,wale wanasemaga hawaaminu watasimama nani?
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo.
Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90..
Leo china ametangaza...
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.
Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu...
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika.
Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa.
Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine wamepunguziwa 10 % tu, Hawajakaa sawa Marekani imewashinikiza Panama kuwafukuza wachina kwenye...
Jeshi la Sudan linaloongozwa na Waislamu lilitangaza kuunga mkono Hamas, na kuahidi kusaidia kuiangamiza Israel. Likiongozwa na wahalifu wa kivita wanaotakwa na ICC Omar al-Bashir na Ahmed Haroun, jeshi hili limekabidhi bandari zake kwa China, kukubali ndege zisizo na rubani za Iran, na sasa...
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40%
Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125%
Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump.
Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing.
Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣.
Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
China Yaagiza Benki Zake Kuu Kuisitisha Ununuzi wa Dola
Benki kuu ya China (PBOC) imewaagiza benki kubwa zinazomilikiwa na serikali kusitisha ununuzi wa sarafu ya Marekani (dola) ili kulinda yuan dhidi ya ushuru kutoka Marekani.
PBOC pia imeagiza benki hizo kuimarisha udhibiti juu ya ununuzi...
Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila...
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
Trump kachemka hapa, alijua kabisa moto wa China sio wa kitoto ila bado anaendelea kuupima.
Alijua kwamba endapo angewapiga pia Russia na North korea hizo tarrifs kisha Wote kwa pamoja wakajibu basi USA ingepumulia mashine.
Ili kutimiza tabia yake chafu akaona aanze na china kwanza huku urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.